Nape ambwaga Lema mahakani Arusha

We jamaa umesoma wapi au umesikia wapi watu tuko arusha hapa hakuna kesi kama hiyo hapa mahakamani unajua inaelekea we ccm jihadhari sana watu wanahasira utapotea bure

Bdo uko UoA? Mwana UoA hapo nshafunddisha wasabato wenzangu wakanitenga
 
siasa zimetawala sana hukumu hapa JF. hapa Jf wanchadema wanahukumu wanaccm na wanaccm wanahukumu wanachadema kwa kigezo cha tofauti za kisiasa tu hawana vigezo vya ziada ili mradi umesikia watu wakisema makosa ya mpinzani wako kisiasa huna haja ya kufuatilia ukweli
 
Hivi utaacha kutumika lini na hao vibaraka wenzako mnaotumiwa na CCM,Acha kuandika upupu.
 
Dalili ya mvua ni mawingu, Wakili la Lema leo amepata pigo baada ya tuhuma dhidi ya Nape alizoziibua kuwa Nape ametangaza ushindi kabla ya hukumu imetupiliwa mbali na Jaji anayesikiliza kesi hiyo mara baada ya mhariri wa Nipashe kukiri kosa kuwa walimnukuu Nape vibaya na hivyo kutakiwa kumwomba Nape msamaha!
kesi hiyo dhidi ya Lema ambayo ni kesi ya msingi itaendelea
Ila ukilaza nao kumbe hauna ujazo kiwango kama ujinga, mimi nilitegemea umponde mwandishi wa Nipashe kwa kupotosha umma wewe unakimbilia kumponda wakili wa Lema!!!!!
Huyo mwindishi ungejuaje kama alikosea bila wakili wa Lema kuchukua kama ushahidi. Kwa mimi hongera wakili wa Lema kwa kumuumbua mwandishi mbabaishaji wa Nipashe.
 
Wewe ndio mjinga kweli na ushabiki wako usio na maana.Sasa hapo Mheshimiwa amepata amepata pigo gani? Amakweli huna maana yoyote kenge kasoro mkia!
 
habari za kusikia mtaani zimevunja ndoa nyingi unazibeba na kwenda nazo nyumbani kama zilivyo na kuandika taraka. JF inabidi tuwe na kitengo cha uchunguzi tutahukumu wengi bila makosa
wee vipi wewe...mbona unaandika uk.manina hovyohovyo wewe!!
unasukumwa na bulldozer nini??
 
Dalili ya mvua ni mawingu, Wakili la Lema leo amepata pigo baada ya tuhuma dhidi ya Nape alizoziibua kuwa Nape ametangaza ushindi kabla ya hukumu imetupiliwa mbali na Jaji anayesikiliza kesi hiyo mara baada ya mhariri wa Nipashe kukiri kosa kuwa walimnukuu Nape vibaya na hivyo kutakiwa kumwomba Nape msamaha!
kesi hiyo dhidi ya Lema ambayo ni kesi ya msingi itaendelea

Jaji mteule wa rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM wakati Nape ni katibu mkuu wa CCM. We kilaza kweli.
 
Ila ukilaza nao kumbe hauna ujazo kiwango kama ujinga, mimi nilitegemea umponde mwandishi wa Nipashe kwa kupotosha umma wewe unakimbilia kumponda wakili wa Lema!!!!!
Huyo mwindishi ungejuaje kama alikosea bila wakili wa Lema kuchukua kama ushahidi. Kwa mimi hongera wakili wa Lema kwa kumuumbua mwandishi mbabaishaji wa Nipashe.

kweli kabisa hongera zimuendee wakili wa lema
 
[h=2]
icon1.png
Re: Nape ambwaga Lema mahakani Arusha[/h]

eh! sifa za kijinga!
mimi nilijua kafanya jambo la maana lol
 
Ni pigo kubwa kwa wananchadema waliokuwa wameanza kushangilia ushindi dhidi ya Nape hapa JF. tulisema tuwe na subira wengi hawakusikia sasa hukumu ndio hiyo

siamini kama kuna mtu alitarajia nape kupatikana na hatia katika kesi hiyo iwe ana kosa ama laa!!
 
Back
Top Bottom