Nape ambwaga Lema mahakani Arusha

Nape ambwaga Lema mahakani Arusha

Nipe tano

Senior Member
Joined
Jun 16, 2011
Posts
100
Reaction score
27
Dalili ya mvua ni mawingu, Wakili la Lema leo amepata pigo baada ya tuhuma dhidi ya Nape alizoziibua kuwa Nape ametangaza ushindi kabla ya hukumu imetupiliwa mbali na Jaji anayesikiliza kesi hiyo mara baada ya mhariri wa Nipashe kukiri kosa kuwa walimnukuu Nape vibaya na hivyo kutakiwa kumwomba Nape msamaha!
kesi hiyo dhidi ya Lema ambayo ni kesi ya msingi itaendelea
 
aisee we tikiti maji kweli, umeongea na kujikana papo hapo
 
We nadhani unamaanisha dalili na mvua ni matope!!!!. huna lolote.
 
Dalili ya mvua ni mawingu, Wakili la Lema leo amepata pigo baada ya tuhuma dhidi ya Nape alizoziibua kuwa Nape ametangaza ushindi kabla ya hukumu imetupiliwa mbali na Jaji anayesikiliza kesi hiyo mara baada ya mhariri wa Nipashe kukiri kosa kuwa walimnukuu Nape vibaya na hivyo kutakiwa kumwomba Nape msamaha!
kesi hiyo dhidi ya Lema ambayo ni kesi ya msingi itaendelea

We jamaa umesoma wapi au umesikia wapi watu tuko arusha hapa hakuna kesi kama hiyo hapa mahakamani unajua inaelekea we ccm jihadhari sana watu wanahasira utapotea bure
 
Sasa kama mwandishi kakiri kuwa alimnukuu vibaya Nape,Lema kabwagwa kivipi?Mbona hueleweki yaani umekurupuka tu kuandika vitu ambavyo havina mashiko.
 
Kweli jf imevamiwa na viwavi! Taratibu gt ya jf inapotea!

Haya sio maneno ya kuandikwa na gt. Sana sana ni maneno ya redio uhuru!

Kuhusu Nape, maswali ni mengi kuliko majibu. Kwanini hakukanusha hizo habari wakati huo!? Na huyo mwandishi, gazeti lake lilishasahihisha hiyo habari na kuwaomba radhi wasomaji? Hapa kunanuka rushwa hasa ukizingatia ni ccm!
 
Pole sana Lema kwa kujitafutia umaarufu kwa kupitia kijana machachari Nape.
 
Dalili ya mvua ni mawingu, Wakili la Lema leo amepata pigo baada ya tuhuma dhidi ya Nape alizoziibua kuwa Nape ametangaza ushindi kabla ya hukumu imetupiliwa mbali na Jaji anayesikiliza kesi hiyo mara baada ya mhariri wa Nipashe kukiri kosa kuwa walimnukuu Nape vibaya na hivyo kutakiwa kumwomba Nape msamaha!
kesi hiyo dhidi ya Lema ambayo ni kesi ya msingi itaendelea

Iwe ni kweli au uwongo, katika media business hili ni kosa kubwa sana kwenye credibility of a media. Kama CCM itawekeana mkataba na Mengi kuwa walipie magazeti yote ya Nipashe yatakayo chapishwa kila siku kwa muda wa miaka kumi I can asy this is Okay. Ila kama CCM wanataka kuua biashara ya gazeti la Nipashe basi Mhariri akubali kuwa alinukuu vibaya. Maana hiyo ni event tosha ya kuporomosha share price ya Nipashe, I mean wanunuzi makini, and sooner or later Nipashe litakuwa Uhuru au Mzalendo type.
 
Kweli jf imevamiwa na viwavi! Taratibu gt ya jf inapotea!

Haya sio maneno ya kuandikwa na gt. Sana sana ni maneno ya redio uhuru!

Kuhusu Nape, maswali ni mengi kuliko majibu. Kwanini hakukanusha hizo habari wakati huo!? Na huyo mwandishi, gazeti lake lilishasahihisha hiyo habari na kuwaomba radhi wasomaji? Hapa kunanuka rushwa hasa ukizingatia ni ccm!

Nakuunga mkono 100% hata kama mm pia ni CCM
 
Ni pigo kubwa kwa wananchadema waliokuwa wameanza kushangilia ushindi dhidi ya Nape hapa JF. tulisema tuwe na subira wengi hawakusikia sasa hukumu ndio hiyo
 
waandishi wetu wana kawaida ya kunukuu vibaya sio kwa nape tu lakini hata mara kadhaa kwa viongozi wa chadema na mara kadhaa wameomba msamaha
 
kwa kuwa Nape ni mwanaccm baadhi ya wanaJF walikosa subira na kuanza kumshambulia hakuna aliyekuwa tayari kusubiri hukumu ya jaji wote tukawa majaji wa kumhukumu Nape pasipo ushahidi hapa Jf au wa kupeleka mahakamani kwamba yupo alisikia Nape akisema hayo.
 
habari za kusikia mtaani zimevunja ndoa nyingi unazibeba na kwenda nazo nyumbani kama zilivyo na kuandika taraka. JF inabidi tuwe na kitengo cha uchunguzi tutahukumu wengi bila makosa
 
Back
Top Bottom