Last emperor JF-Expert Member Mar 22, 2015 10,352 9,810 Jul 11, 2015 #41 Mnara wa babel hatimaye umeanguka. Asante mungu
M Masonjo JF-Expert Member Aug 8, 2010 2,724 1,116 Jul 11, 2015 #42 Root said: Aiseee basi wataitwa wasikilizwe Click to expand... Watasikilizwa tu baada ya mikutano hii kwisha, wao wapeleke barua kwa Katibu Mkuu.May be baada ya wiki mbili wanaweza wakajadiliwa rufaa yao.
Root said: Aiseee basi wataitwa wasikilizwe Click to expand... Watasikilizwa tu baada ya mikutano hii kwisha, wao wapeleke barua kwa Katibu Mkuu.May be baada ya wiki mbili wanaweza wakajadiliwa rufaa yao.
Online Pastor JF-Expert Member Sep 7, 2017 1,948 1,515 Nov 2, 2017 #43 kanone said: kwa magufuli ccm wamelamba dume Click to expand... Mkuu kanone subiri kibajaji akusikie.
kanone said: kwa magufuli ccm wamelamba dume Click to expand... Mkuu kanone subiri kibajaji akusikie.
Samweli Mathayo JF-Expert Member Aug 1, 2017 1,577 1,700 Nov 8, 2017 #44 UngaUnga said: Membe ameshaandaliwa na familia kuu magufuli kawekwa ili kubalansi na jinalake halivuki nec! Ni membe, makamba na balozi amina salum, magufuli kawekwa kutufumba midomo baada ya el kukatwa. Click to expand... Mnawekaga wapi aibu
UngaUnga said: Membe ameshaandaliwa na familia kuu magufuli kawekwa ili kubalansi na jinalake halivuki nec! Ni membe, makamba na balozi amina salum, magufuli kawekwa kutufumba midomo baada ya el kukatwa. Click to expand... Mnawekaga wapi aibu
Samweli Mathayo JF-Expert Member Aug 1, 2017 1,577 1,700 Nov 8, 2017 #45 Mdau Makin said: Dr.Slaa ndo raisi wetu 2015. Click to expand... Mmmmmmmmmm