Nape: Ambao hawakuridhiswa na maamuzi ya Kamati Kuu wana fursa ya kukata rufaa | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape: Ambao hawakuridhiswa na maamuzi ya Kamati Kuu wana fursa ya kukata rufaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ruttashobolwa, Jul 11, 2015.

 1. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2015
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 45,008
  Likes Received: 14,932
  Trophy Points: 280
  Wana jamvi!

  Bwana Nape, kupitia Star TV, amejitokeza na kutangaza majina yaliyoingia tano bora ambao na ambayo hakuna mabadiliko yeyote na yale ya mwanzo!

  Pia ameweka wazi kuwa ambaye hakuridhishwa na maamuzi ana fursa ya kukata rufaa na taratibu ziko wazi!
  Aliulizwa kama chama kina mpasuko, akasema chama kipo imara na ni kawaida kwa watu kupingana na si mara ya kwanza, lakini demokrasi inawapa ushindi wengi!

  Kuhusu kauli ya kutokuwa na fursa ya kukata rufaa, amesema ule ulikuwa upotoshaji na amesema watu hawakumuelewa, lakini mtu asiyekubaliana na mamuzi kuna utaratibu wa kukata rufaa!

  Kuhusu swala la Nchimbi na wenzie kutokubaliana na maamuzi na kusema kanuni zimekiukwa, amesema ipo fursa ya wao kusikilizwa na swala la kupinga maamuzi ndio demokrasia yenyewe!

  Top five ni:
  Bernard Kamilius Membe
  John Pombe Magufuli
  January Makamba
  Asha- Rose Migiro
  Amina S.

  Karibuni wanajamvi!
   
 2. Last emperor

  Last emperor JF-Expert Member

  #41
  Jul 11, 2015
  Joined: Mar 22, 2015
  Messages: 5,053
  Likes Received: 1,873
  Trophy Points: 280
  Mnara wa babel hatimaye umeanguka. Asante mungu
   
 3. M

  Masonjo JF-Expert Member

  #42
  Jul 11, 2015
  Joined: Aug 8, 2010
  Messages: 2,725
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Watasikilizwa tu baada ya mikutano hii kwisha, wao wapeleke barua kwa Katibu Mkuu.May be baada ya wiki mbili wanaweza wakajadiliwa rufaa yao.
   
 4. Online Pastor

  Online Pastor JF-Expert Member

  #43
  Nov 2, 2017
  Joined: Sep 7, 2017
  Messages: 1,814
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  Mkuu kanone subiri kibajaji akusikie.
   
 5. Samweli Mathayo

  Samweli Mathayo JF-Expert Member

  #44
  Nov 8, 2017
  Joined: Aug 1, 2017
  Messages: 1,371
  Likes Received: 1,234
  Trophy Points: 280
  Mnawekaga wapi aibu
   
 6. Samweli Mathayo

  Samweli Mathayo JF-Expert Member

  #45
  Nov 8, 2017
  Joined: Aug 1, 2017
  Messages: 1,371
  Likes Received: 1,234
  Trophy Points: 280
  Mmmmmmmmmm
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...