Nape: Ambao hawakuridhiswa na maamuzi ya Kamati Kuu wana fursa ya kukata rufaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape: Ambao hawakuridhiswa na maamuzi ya Kamati Kuu wana fursa ya kukata rufaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ruttashobolwa, Jul 11, 2015.

 1. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2015
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 45,008
  Likes Received: 14,932
  Trophy Points: 280
  Wana jamvi!

  Bwana Nape, kupitia Star TV, amejitokeza na kutangaza majina yaliyoingia tano bora ambao na ambayo hakuna mabadiliko yeyote na yale ya mwanzo!

  Pia ameweka wazi kuwa ambaye hakuridhishwa na maamuzi ana fursa ya kukata rufaa na taratibu ziko wazi!
  Aliulizwa kama chama kina mpasuko, akasema chama kipo imara na ni kawaida kwa watu kupingana na si mara ya kwanza, lakini demokrasi inawapa ushindi wengi!

  Kuhusu kauli ya kutokuwa na fursa ya kukata rufaa, amesema ule ulikuwa upotoshaji na amesema watu hawakumuelewa, lakini mtu asiyekubaliana na mamuzi kuna utaratibu wa kukata rufaa!

  Kuhusu swala la Nchimbi na wenzie kutokubaliana na maamuzi na kusema kanuni zimekiukwa, amesema ipo fursa ya wao kusikilizwa na swala la kupinga maamuzi ndio demokrasia yenyewe!

  Top five ni:
  Bernard Kamilius Membe
  John Pombe Magufuli
  January Makamba
  Asha- Rose Migiro
  Amina S.

  Karibuni wanajamvi!
   
 2. n

  ng`wana ong`wa kulwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2015
  Joined: Mar 14, 2013
  Messages: 2,394
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Rufaa ya nini rais wa watanzania tayari ni Magufuli
   
 3. k

  kanone JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2015
  Joined: Oct 10, 2013
  Messages: 6,197
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  Kwani tunataka rais wa rufaa? Magufuli ndo mpango
   
 4. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2015
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 485
  Trophy Points: 180
  Wanakata rufaa wapi/kwa nani? This is kangaroo court, yaani ukate rufaa kwa watu/ chombo kilichokata jina lako!!
   
 5. k

  kanone JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2015
  Joined: Oct 10, 2013
  Messages: 6,197
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  kwa magufuli ccm wamelamba dume
   
 6. k

  kanone JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2015
  Joined: Oct 10, 2013
  Messages: 6,197
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  Kukata rufaa kwani urais ni shamba la ukoo kwamba umenyang'anywa shamba la baba yako? Hiyo ni kujidhalilisha kisiasa.
   
 7. Root

  Root JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2015
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,945
  Likes Received: 13,809
  Trophy Points: 280
  Aiseee basi wataitwa wasikilizwe
   
 8. k

  kanone JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2015
  Joined: Oct 10, 2013
  Messages: 6,197
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  wasitusumbue tumeishapata rais wetu magufuli watuunge mkono tu,
   
 9. k

  kanone JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2015
  Joined: Oct 10, 2013
  Messages: 6,197
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  tutawapa jina la zitto,(wasaliti)
   
 10. M

  Mzee wa Usafi JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2015
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 639
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Hayo ndo maamuzi ya chama watu wayaheshimu ukiwa hutaki jiondoe unda cha kwako uone muziki wake
   
 11. mkolosai

  mkolosai JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2015
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 798
  Trophy Points: 280
  Hapo mtaletewa Membe na hao akina mama wawili
   
 12. n

  nkongu ndasu JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2015
  Joined: Jan 19, 2013
  Messages: 22,520
  Likes Received: 3,764
  Trophy Points: 280
  Haa haa, labda Watanzania wa Lumumba.
   
 13. n

  nkongu ndasu JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2015
  Joined: Jan 19, 2013
  Messages: 22,520
  Likes Received: 3,764
  Trophy Points: 280
  mwombee apitishwe na mkutano mkuu
   
 14. MOTOCHINI

  MOTOCHINI JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2015
  Joined: Jan 20, 2014
  Messages: 24,214
  Likes Received: 12,741
  Trophy Points: 280
  Upo sawa
   
 15. MOTOCHINI

  MOTOCHINI JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2015
  Joined: Jan 20, 2014
  Messages: 24,214
  Likes Received: 12,741
  Trophy Points: 280
  Hapatakuwa na jipya
   
 16. MOTOCHINI

  MOTOCHINI JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2015
  Joined: Jan 20, 2014
  Messages: 24,214
  Likes Received: 12,741
  Trophy Points: 280
  Unawachoma watu
   
 17. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2015
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,855
  Likes Received: 3,652
  Trophy Points: 280
  Magufuli hawezi kufanya chochote pekee yake, kwasababu wamearibu combination tayari ...hapa mpango ni Ukawa mwanzo mwisho ili tuitie adabu CCM
   
 18. a

  ashraf idd New Member

  #18
  Jul 11, 2015
  Joined: Jul 10, 2015
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  magufuli ndio rais wetu
   
 19. MOTOCHINI

  MOTOCHINI JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2015
  Joined: Jan 20, 2014
  Messages: 24,214
  Likes Received: 12,741
  Trophy Points: 280
  Hapo hata mm namkubali jamaa
   
 20. MOTOCHINI

  MOTOCHINI JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2015
  Joined: Jan 20, 2014
  Messages: 24,214
  Likes Received: 12,741
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...