Nape: Ambao hawakuridhiswa na maamuzi ya Kamati Kuu wana fursa ya kukata rufaa

Membe ameshaandaliwa na familia kuu magufuli kawekwa ili kubalansi na jinalake halivuki nec! Ni membe, makamba na balozi amina salum, magufuli kawekwa kutufumba midomo baada ya el kukatwa.
 
CCM wakitaka kupoteza wamkate Magufuli, coz ni mtu mwenye msimamo tofauti na ni wa kipekee mno (he has a very strong self defensive mechanism no one else).
 
Kama membe akipita najua makamu wake atakuwa amina,waziri mkuu atakuwa magufuli na waziri wa mambo ya nje anaweza kuwa makamba au rose migiro.
 
magufuli ndio rais wetu

Sasa utamsikia kama Raisi, badala ya Serikali inayoongoza na Mh Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete atasema, serikali yangu inyoongozwa na dhamira ya Benki ya Dunia na Mh Rais Sana wa Marekani (atataja jina!!!)....hatuna mtu pale....

Sheria zote atazivurugu na ndipo mtaona Mmarekani zaidi kuliko mlivyowahi kuona na uchafu wao duniani hapa.
 
Siko impressed na Membe,kwa kuwa sasa tunarudi kwenye utawala wa kifalme.Furthermore hayuko intelligent kihivyo.Sikuona maamuzi yake mengi kuwa yalikuwa ya busara sana.Huyu Amina ni nani hasa, mwenye CV yake naomba mtupatie.Siko confortable na Makamba kuwa Rais.He is okay for foreign minister.Bado nasisitiza Magufuli anafaa kuwa PM.Asha anafaa kiasi kuwa Rais tatizo linaweza kuu jee atakuwa strong hasa ukizingatia kwamba ili kutoa nchi yetu hapa ilipo sasa, tunahitaji mtu anayeweza kufanya maamuzi magumu.
Wana jamvi!
Bwana Nape kupitia Star tv amejitokeza na kutangaza majina yaliyo ingia Tano bora ambao na ambayo hakuna mabadiliko yeyote na yale ya mwanzo!

Pia ameweka wazi kuwa ambaye hakulizishwa na maamuzi ana fursa ya kukata rufaa na taratibu ziko wazi!
Pia aliulizwa kama chama kina mpasuko na kusema chama kipo imara na ni kawaida kwa watu kupingana na si mara ya kwanza lakini demokrasi inawapa ushindi wengi!

Pia kuhusu kauli ya kutokuwa na fursa ya kukata rufaa amesema ule ulikuwa upotoshaji na amesema watu hawakumuelewa lakini mtu asiye kubaliana na mamuzi kuna utaratibu wa kukata rufaa!

Pia kuhusu swala la Nchimbi na wenzie kutokubaliana na maamuzi na kusema kanuni zimekiukwa amesema hipo fursa ya wao kusikilizwa na swala la kupinga maamuzi ndio demokrasia yenyewe!

Top five ni
Membe
Magufuli
January
Migiro
Amina S.

Karibuni wana jamvi!
 
Siko impressed na Membe,kwa kuwa sasa wanataka kuturudisha kwenye utawala wa kifalme.Furthermore hayuko intelligent kihivyo.Maamuzi yake mengi sio ya busara sana.Furthermore, I don't think he can be a strong president.Huyu Amina ni nani hasa, mwenye CV yake naomba mtupatie.Siko confortable na Makamba kuwa Rais.He is okay for foreign minister.Bado nasisitiza Magufuli anafaa kuwa PM.Asha anafaa kiasi kuwa Rais, tatizo linaweza kuwa jee atakuwa strong hasa ukizingatia kwamba ili kutoa nchi yetu hapa ilipo sasa, tunahitaji mtu anayeweza kufanya maamuzi magumu.
Wana jamvi!
Bwana Nape kupitia Star tv amejitokeza na kutangaza majina yaliyo ingia Tano bora ambao na ambayo hakuna mabadiliko yeyote na yale ya mwanzo!

Pia ameweka wazi kuwa ambaye hakulizishwa na maamuzi ana fursa ya kukata rufaa na taratibu ziko wazi!
Pia aliulizwa kama chama kina mpasuko na kusema chama kipo imara na ni kawaida kwa watu kupingana na si mara ya kwanza lakini demokrasi inawapa ushindi wengi!

Pia kuhusu kauli ya kutokuwa na fursa ya kukata rufaa amesema ule ulikuwa upotoshaji na amesema watu hawakumuelewa lakini mtu asiye kubaliana na mamuzi kuna utaratibu wa kukata rufaa!

Pia kuhusu swala la Nchimbi na wenzie kutokubaliana na maamuzi na kusema kanuni zimekiukwa amesema hipo fursa ya wao kusikilizwa na swala la kupinga maamuzi ndio demokrasia yenyewe!

Top five ni
Membe
Magufuli
January
Migiro
Amina S.

Karibuni wana jamvi!
 
Siko impressed na Membe,kwa kuwa sasa tunarudi kwenye utawala wa kifalme.Furthermore hayuko intelligent kihivyo.Sikuona maamuzi yake mengi kuwa yalikuwa ya busara sana.Huyu Amina ni nani hasa, mwenye CV yake naomba mtupatie.Siko confortable na Makamba kuwa Rais.He is okay for foreign minister.Bado nasisitiza Magufuli anafaa kuwa PM.Asha anafaa kiasi kuwa Rais tatizo linaweza kuu jee atakuwa strong hasa ukizingatia kwamba ili kutoa nchi yetu hapa ilipo sasa, tunahitaji mtu anayeweza kufanya maamuzi magumu.

CCM haina viongozi wenye kufanya maamuzi magumu, hasa hiyo top 5 hapo.
Kuitoa Tanzania hapa ilipo inahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, sijaona wa kufanya maamuzi magumu hapo.
 
Back
Top Bottom