Nape akiri wananchi wake kuchota maji ya kopo miaka 50 baada uhuru

Kuna jitihada gani Mnyika alifanya kuleta maji ubungo to kimara to kibamba kote huko kibangi ni majanga, na bado mpaka sasa kubenea na mnyika mwenyewe kwa jimbo lake HAONESHI jitihada za kuwezesha maji yaje, huwezi nishawishi kwa upinzani huu unaoongozwa na Mbowe, rangi yao halisi imeshaonekana! Ni kweli sisiemu wameshindwa maeneo mengi ila mbadala wake sio chadema hii ya mbowe, tuwe serious!!
Mkuu mimi binafsi kama kuna kitu nakiri serikali imenikomboa ni maji! Naishi Kimara Baruti huku magari ya kuuza maji sikuhizi hayakanyagi unless kuwe na tatizo la maji tena siku hizi ni mpaka saa 6 usiku maji yanatoka! Ninapata maji ya Dawasco daily shambani kwangu Kwembe na yote haya ni kama miaka 2 tu iliyopita! Sasa mimi sijui ni Mnyika au nani aliyefanikisha hilo ila Ubungo, Kimara na Mbezi vilio vya kukosa maji vimepungua na vinapungua kwa kasi sana! Unless unaongelea maeneo usiyoyafahamu!
 
Mnyika ni mtu gani katika serikali ya jamhuri ya Muungano waTanzania.

Kubenea ni nani hasa katika serikali iliyopo madarakani.

Nani mwenye jukumu la kupanga budget ya kupeleka maji eneo husika

Nani anamiliki mamlaka ya maji safi na maji taka ambayo ndiyo hasa yenye jukumu la kupeleka maji hayo.

Kwani mnyika hakuwahi kuwasilisha suala la maji bungeni na mpaka nakumbuka aligawa namba za waziri husika kipindi kile ili wananchi wampigie wamuulize.

Next time ukitaka kumtuhumu mtu fikiria mara mbili mbili mzee
Kashindwa kazi, acha kumtetea, inakuaje kina Nassari kazi wanafanya! Kazi yao ni nini nao au ina utofauti na ya hawa kina mnyika??
Chadema kuna wabunge wachache wanaojitambua na wanaojua kazi zao, sikatai hili, mmoja ni huyu wa Arumeru ila wengi wanaobaki wako bize na vitu ambavyo havina impact kwa raia.
 
Sawa baba wewe unajua kazi
 
Kuna jitihada gani Mnyika alifanya kuleta maji ubungo to kimara to kibamba kote huko kibangi ni majanga, na bado mpaka sasa kubenea na mnyika mwenyewe kwa jimbo lake HAONESHI jitihada za kuwezesha maji yaje, huwezi nishawishi kwa upinzani huu unaoongozwa na Mbowe, rangi yao halisi imeshaonekana! Ni kweli sisiemu wameshindwa maeneo mengi ila mbadala wake sio chadema hii ya mbowe, tuwe serious!!
Hili taifa limejaa senges wengi sana km wewe, mnyika anakusanya kodi yoyote nchi hii, katafute msanya kodi wa nchi
 
Kuna jitihada gani Mnyika alifanya kuleta maji ubungo to kimara to kibamba kote huko kibangi ni majanga, na bado mpaka sasa kubenea na mnyika mwenyewe kwa jimbo lake HAONESHI jitihada za kuwezesha maji yaje, huwezi nishawishi kwa upinzani huu unaoongozwa na Mbowe, rangi yao halisi imeshaonekana! Ni kweli sisiemu wameshindwa maeneo mengi ila mbadala wake sio chadema hii ya mbowe, tuwe serious!!
Hayo maji yalikuwapo kabla ya upinzani kuchukua majimbo hayo? Jiulize yamekuwa chini ya ccm miaka mingapi ndo uje utapike hapa
 
Ilikuwa sahihi katiba mpya kuwa na kipengere cha kuzuia mbunge wa kuchaguliwa na wananchi kuwa waziri,anashindwa kusema kero za waliomchagua,haishauri serikali badala yake anailinda serikali.
 
7880b1c6cced4570a7fc7ba44b229d57.jpg
a26e9a1918bd862157da31c8c4648f7f.jpg

"Huku ndiko wanakochota maji baadhi ya wapiga kura wangu! Sasa mtanielewa kwanini napiga kelele na maji" - Nape

Ukitafakari kauli hii ya Nape, ni kuwa amekubaliana na upinzani kuwa CCM hawajalitendea taifa haki kwenye maendeleo toka uhuru!

Watakiri mmoja mmoja, ni suala la muda tu!
Mh Nape ombea majanga jimboni kwako ili tutoe rambirambi mpate pesa za kuleta maji. Angalia wenzenu wa bukoba na arusha wanavyofaidi.
 
Ilikuwa sahihi katiba mpya kuwa na kipengere cha kuzuia mbunge wa kuchaguliwa na wananchi kuwa waziri,anashindwa kusema kero za waliomchagua,haishauri serikali badala yake anailinda serikali.
Yaani ingekuwa poa sana, mbinge asiwe waziri, Nape angeona hii ishu toka alipochaguliwa mbunge, ila kaona baada ya kutumbuliwa uwaziri.
Katiba mpya inahitajika.
 
Kuna siku alituonyesha watu wanavuka kwenye MTO kwamba hiyo imekuwa njia yao miaka yote..sasa kama mito inatiririsha Maji visima vya nini??
 
Back
Top Bottom