Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,856
"Huku ndiko wanakochota maji baadhi ya wapiga kura wangu! Sasa mtanielewa kwanini napiga kelele na maji" - Nape
Ukitafakari kauli hii ya Nape, ni kuwa amekubaliana na upinzani kuwa CCM hawajalitendea taifa haki kwenye maendeleo toka uhuru!
Watakiri mmoja mmoja, ni suala la muda tu!