masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,608
- 14,552
Akiuchangamsha umati wa wana CCM hapo Kizota, nimemsikia Nape akiimba kwa hamasa kubwa, huku akishangiliwa na umati wa mkutano huo:
Uamsho bye bye!
Uamsho bye bye!
Ningependa kukubaliana naye kwa dhati, ila kuna aliyekusudiwa?
Ha ha ha!
Ha ha ha!
Safi sana mkuu nngu007, mama yetu wa Taifa alikuwepo.
Mimi nimeshindwa kumwelewa. Ina maana uamsho ni ccm?
Akiuchangamsha umati wa wana CCM hapo Kizota, nimemsikia Nape akiimba kwa hamasa kubwa, huku akishangiliwa na umati wa mkutano huo:
Uamsho bye bye!
Uamsho bye bye!
Ningependa kukubaliana naye kwa dhati, ila kuna aliyekusudiwa?
Mama Karume (MAMA YANGA) na Mama Nyerere
Wanuna?
Hizi ndizo akili za viongozi wa ccm
Mama Karume (MAMA YANGA) na Mama Nyerere
Wanuna?
Jamani kumbe uzeeni mme na mkewe hufanana! angalia sura ya mama nyerere na hayati mumewe jinsi walivyofanana?