Mtulivujohn
Member
- Nov 2, 2018
- 43
- 17
Wadau natanguliza shukrani kwa yeyote aliejitolea kunipa mda wake na uelewa wake kuhusu swali langu apo juu,
Wadau naombeni ushauri Pia msaada kwamba kuna mwanafunzi amemaliza la saba mwaka huu na amefaulu na nataka nimhamishie shule za sekondari za mkoa wa tanga Au Kilimanjaro je process zipi nifuate kupata uhamisho na shule bado hawajapangiwa na ikitokea amepangiwa shule za kata uku huku Arusha nitamhamishaje asianze huku akaanze moja kwa moja hiyo shule nitakayomhamishia kuliko kula gharama Mara mbili ya manunuzi ya vitu vya shule kama sare.
Nawashukuru