Napataje uhamisho wa mwanafunzi wa kidato cha kwanza nje ya mkoa?

Mtulivujohn

Member
Nov 2, 2018
43
17
Wadau natanguliza shukrani kwa yeyote aliejitolea kunipa mda wake na uelewa wake kuhusu swali langu apo juu,

Wadau naombeni ushauri Pia msaada kwamba kuna mwanafunzi amemaliza la saba mwaka huu na amefaulu na nataka nimhamishie shule za sekondari za mkoa wa tanga Au Kilimanjaro je process zipi nifuate kupata uhamisho na shule bado hawajapangiwa na ikitokea amepangiwa shule za kata uku huku Arusha nitamhamishaje asianze huku akaanze moja kwa moja hiyo shule nitakayomhamishia kuliko kula gharama Mara mbili ya manunuzi ya vitu vya shule kama sare.

Nawashukuru
 
Nenda kwa mkuu wa shule unayotaka kumuamishia mtoto akupe utaratibu.
 
Ooorr sawa kwahiyo si mpaka kwa mkuu wa mkoa aiwezekani process online
Mara nyingi ukichukua information na taratibu kutoka sehemu unayopeleka mtoto ndo utapata taratibu zote kwa ushirikiano......ukichukua maelezo ya taratibu za uhamisho kwa eneo ambalo unataka kumtoa mtoto watakupa process ambazo wanajua wazi utaona ni ngumu na ushirikiano utakua mdogo
 
Lakin mkuu si mpaka wapangiwe kwanza ama
 
Fanya haraka kama ndoo kapre form one maan wakifungua shule mpka miez sita nenda kwa mkuu wa shule unayotak ahamie.
Kwa kuwa kwa sasa watumia teham wala haitochukua mdaaa kam week tu tayari.
 
Fanya haraka kama ndoo kapre form one maan wakifungua shule mpka miez sita nenda kwa mkuu wa shule unayotak ahamie.
Kwa kuwa kwa sasa watumia teham wala haitochukua mdaaa kam week tu tayari.
Sawa mkuu nitafanya hivyo kqbla hawajapangiwa sio
 
Back
Top Bottom