Napataje Police Loss Report?

Mbona sijawaona mkuu😀
"Stationery wanatoa huduma ya loss report huwa wanafanya elfu 5"

Sipendi kuwa quote nakwepa confrontation
.....
Unanunuaje ripoti ya polisi ambayo haiko kwenye rekodi za polisi ili kuja kujilinda na jinai ikitokea tatizo mbeleni?
Nimetafsiri hiyo ni dhihaka.
 
Nimeelewa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…