[mention]binti kiziwi [/mention]
Nilikua nauliza watu waliosoma huko,,,
Chance ni ndogo lakini zipo…
Scholarship nyingi za nchi za ulaya ni za kulipia,
Kwanini nataka UK na si nchi nyingine?
1.Pamoja na kusoma natafuta maslahi vilevile kama Kutengeneza kipato cha kuweza kusustain familia pia, Nimeambiwa kwa UK ninrahisi kufanya kaz na kusoma ie Casual job siyo zile professional kwan zile professional hawaruhusu
2.Kuna uhaba mkubwa wa Labour UK tangu ijitoe EU (Brexit)
3.Hela ya kule ina thamani kidogo hasa kama unaweza tengeneza milion moja kwa wiki kama utapiga kazi sana
Saa moja 1~ Paund 8 nasikia