Napataje bima ya mtoto wa siku tano

Napataje bima ya mtoto wa siku tano

alifariki waligoma kunipa maiti hadi nilipe deni lililobaki
hivi madaktari wanataka ulipie gharama za maiti kwanini?

mtu hajapona mmezingua kafariki,mnataka mlipwe si wizi huu?

napeleka gari langu garage,fundi anaua engene kabisa,naenda fata

gari eti naambiwa Lipia,nalipia nini? haya mambo haya sijui nani mbunifu eneo hili.
 
We acha tu me nimeuguza mtoto aliyetoka kuzaliwa kwa gharama kubwa pale muhimbili na bado alifariki waligoma kunipa maiti hadi nilipe deni lililobaki [emoji28] na huyu kazaliwa na kesi ile ile kwaiyo naendelea nilipoishia[emoji1]
Pole sana mkuu ila mnafanyaga makosa sana mnasubiri mpaka mtu aje kuumwa ndio mnaanza kuangaikia bima ya afya.
Huyo kipindi mkeo/demu wako 😅 ungemkatia bima ya mama na mtoto mapema haya yote yasingetokea.
Dogo akishazaliwa ndio ungeanza kuangaika na bima yake huyu akiwa bado anashea bima na mama yake.
Copy that
 
hivi madaktari wanataka ulipie gharama za maiti kwanini?

mtu hajapona mmezingua kafariki,mnataka mlipwe si wizi huu?

napeleka gari langu garage,fundi anaua engene kabisa,naenda fata

gari eti naambiwa Lipia,nalipia nini? haya mambo haya sijui nani mbunifu eneo hili.
[emoji28][emoji28]ili jambo limekaa kihuni sana ukiwakuta wanavyo kaza utafikir wanakazi nayo iyo maiti
 
We acha tu me nimeuguza mtoto aliyetoka kuzaliwa kwa gharama kubwa pale muhimbili na bado alifariki waligoma kunipa maiti hadi nilipe deni lililobaki [emoji28] na huyu kazaliwa na kesi ile ile kwaiyo naendelea nilipoishia[emoji1]
Pole sana. Bahati mbaya bima hua hazianzi kufanya kazi hapohapo unapolipia. Utasubiri kwa kipindi watakachokueleza. Hata hivyo ni muhimu kukata mapema sababu ukichelewa kukata ndivyo unavyojichelewesha zaidi kuanza kunufaika nayo. Piga simu yao namba 199
 
Pole sana mkuu ila mnafanyaga makosa sana mnasubiri mpaka mtu aje kuumwa ndio mnaanza kuangaikia bima ya afya.
Huyo kipindi mkeo/demu wako [emoji28] ungemkatia bima ya mama na mtoto mapema haya yote yasingetokea.
Dogo akishazaliwa ndio ungeanza kuangaika na bima yake huyu akiwa bado anashea bima na mama yake.
Copy that
Upo sahihi mkuu tatizo tupo nyuma kwenye elimu ya hivi vitu mwanzo nilijua bima inatolewa kwa watumishi tu ila ndo tunajifunza kutokana na mistakes
 
Me nadhani hawa NHIF wangepigilia msumari zaidi apo kwenye elimu ya maswala ya bima mbona mambo mengine kama sensa yanapigwa promo za kutosha..

Acha tukawape tena pesa zao next time hawanili kichwa[emoji16]

Nashukuruni sana [emoji1666][emoji1666]
 
We acha tu me nimeuguza mtoto aliyetoka kuzaliwa kwa gharama kubwa pale muhimbili na bado alifariki waligoma kunipa maiti hadi nilipe deni lililobaki [emoji28] na huyu kazaliwa na kesi ile ile kwaiyo naendelea nilipoishia[emoji1]
Pole sana kwa changamoto ya kizazi,Allah akuafanyie wepesi wewe na amuafu mtoto
 
je napo unachaguliwa hospitali ya kutibiwa ama ni hospitali yoyote ile unatibiwa
Hospital yoyote ile mtoto anatibiwa, juzi kati ndio walitaka kuja na yale mabadiliko yao ikiwemo kutibiwa hospital moja tu wadau wakaja juu ikasitishwa bt nadhan ni kiini macho tu wataiweka iwe hvyo siku za usoni
 
We acha tu me nimeuguza mtoto aliyetoka kuzaliwa kwa gharama kubwa pale muhimbili na bado alifariki waligoma kunipa maiti hadi nilipe deni lililobaki [emoji28] na huyu kazaliwa na kesi ile ile kwaiyo naendelea nilipoishia[emoji1]
Nimeumia ghafla...shida nini? Dah pole sana....na bima hadi 3 mths
 
Hospital yoyote ile mtoto anatibiwa, juzi kati ndio walitaka kuja na yale mabadiliko yao ikiwemo kutibiwa hospital moja tu wadau wakaja juu ikasitishwa bt nadhan ni kiini macho tu wataiweka iwe hvyo siku za usoni
Walipinga tu ila ndicho kinafanyika, ukitaka ukweli wapigie 199
 
Back
Top Bottom