Napata wanawake tegemezi tuu, nakosea wapi?

Nani kakwambia Mke anatafutwa sehemu za starehe?
Sehemu za starehe ni moja ya mazingira pia kutokana na hoja yako tu......si unasema mazingira yanaweza kufanya akapata mwanamke mwenye kutatatua matatizo yake ,tukirudi kwenye mada kwamba hana bahati hiyo ya kupata mwanamke mwenyekujiweza ukamsihi mazingira anaowapata hao ndiyo chanzo cha kupata anaotembea nao, kwamba amewapatia mazingira gani dah nimesikitika kuona coment ya namna hii,hii haiwezi ikawa nguvu ya hoja,mshauri kitu kingine
 
Mpaka nashangaa maelezo marefu hivi halafu yapo out kabisa na kitu nilichoongelea yanatoka wapi.
Sawa kama unaona sehemu yenye hadhi ni kwenye makasino.
 



Thibitisha usemayo.
 
Tengeneza wakwako mfungulie biashara sasa we unamiliki mashori wakupiga nao show na kuwatoa viten ten ambavyo hata akijibana havitoshi hata kufungulia genge
 
Lazima upewe kwa msimangoo hasaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…