Napata wanawake tegemezi tuu, nakosea wapi?

Kama unataka wanawake wanaojiweza angalia na mazingira na sehemu unazokutana nao.
Unachekesha kuna makahaba unawakuta kwenye makasino yenye hadhi ya juu ukimuangalia anakunywa vinywaji vya pesa ndefu kumbe anadanga, mazingira hayaweza yakawa ni indicator ya kumpata mwanamke fulani mwenye hitaji la moyo wako,
 
Baadhi yetu tumekuwa tunaishi tu. Hatuna mpenzi. Hatujaribu umalaya. Hatumpendi mtu. Hakuna anayetupenda. Tunajishughulisha tu na kazi zetu, tunakula, tunalala, na kuishi maisha yanasonga kiulaiiini.
 
Uko sahihi kabisa
Unachekesha kuna makahaba unawakuta kwenye makasino yenye hadhi ya juu ukimuangalia anakunywa vinywaji vya pesa ndefu kumbe anadanga, mazingira hayaweza yakawa ni indicator ya kumpata mwanamke fulani mwenye hitaji la moyo wako,
 
Anza badilisha mazingira unayotembelea siku za mwisho wa wiki na sehemu za starehe..........usiendekeze tabia ya wewe kutoa tu afu hupokei ni ufala sana........
 
Unachekesha kuna makahaba unawakuta kwenye makasino yenye hadhi ya juu ukimuangalia anakunywa vinywaji vya pesa ndefu kumbe anadanga, mazingira hayaweza yakawa ni indicator ya kumpata mwanamke fulani mwenye hitaji la moyo wako,
Nani kakwambia Mke anatafutwa sehemu za starehe?
 
Pole sana...

Anyways usilalamike, kwani mfumo dume tuliyokua nao ni kwamba, mwanaume ni mtoaji, mwanamke ni mpokeaji... au kwa lugha nyingine... chako chake, chake chake...

Ni wanawake wachache sana wenye mioyo ya kusaidia wanaume zao wanapokwama...


Cc: mahondaw
 
Aisee tunakwama wengi kuna dude linaomba hela balaa...mara kusuka, make-up, kodi ya nyumba, simu, michango ya kitchen party, airtime.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…