Nitonye ni nani inbox ( kuna mmoja hapa kasema aliyemchoma ni Mzee Butiku) Is this true? Speculations!Aliyemchoma naye yupo kitandani anapigania roho yake malipo ni hapa hapa.
Tuongeze maombiAliyemchoma naye yupo kitandani anapigania roho yake malipo ni hapa hapa.
Nani huyoAliyemchoma naye yupo kitandani anapigania roho yake malipo ni hapa hapa.
Sijawahi kumuelewa mpaka leoAlikuwa mjinga sana ,unajificha halafu unawatuma watu wakakununulie chips wakuletee ulipojificha halafu Iphone yako unaacha on location
Basi alikuwa Hana Akili inawezekana vipi ugeuzwe kukubali kuwa chamboKilichotokea kwa polepole ni sawa na lowasa.
Polepole aliambiwa tangulia tunakuja, anza kwa kuandika barua ya kujiuzulu, wewe ndiyo utaongoza mapambano. Jamaa kavuka mto akajikuta yupo peke yake.
Lowasa aliambiwa tangulia chadema tunakuja akajikuta yupo na mgeja, mgana msindai na guninita
Wenzake wale walomwambia tangulia ndo wakawa wanamcheka
Aliyemchoma H. P ni Mzee butiku. Huyu ni miiongoni mwa walomwambia jamaa atangulie
si mlisema yupo uganda, kwani kesharudi kwake?. Umri umeenda mwisho wake wa kuishi unafika ukomoAliyemchoma naye yupo kitandani anapigania roho yake malipo ni hapa hapa.
ButikuAliyemchoma naye yupo kitandani anapigania roho yake malipo ni hapa hapa.
Kabla ya JPM polepole alikuwa mtu wa kawaida sana (mshamba) mdomo ndio ulimpa jinaSijawahi kumuelewa mpaka leo