Ha ha ha ha..Tatizo lenu vijana hela zenu mnazicikilizia sana fedha zenu.. Mnataka mkubaliwe kwa mashairi tu na swaggas za bure.. Enzi zetu ndo mashairi yalikuwa yanafanya kazi.. Ciku hizi mjitahidi kuhonga vijana..
Pesa kwanza penzi badae!!!!
No money no honey, tumehamia dijitali kama unataka wa analojia rudi kijijini kwa wazazi wako, unless otherwise ukitaka vya bila gharama ni sawa na kusubiri meli stesheni utakesha!:flypig:
Hapo umenena kaka,nina rafiki yangu alipigwa kibuti na mchumba'ake kisa msichana anadai hayuko tayari kwenda clinic kwa daladala kwa kuwa rafiki yangu ndo kwanza alikuwa kaajiriwa na hana hata gari.
Nishawahi kuwasikia mabinti wakati niko chuo wanadai eti wao kwenye ndoa ni KWA RAHA TU,WAKATI WA SHIDA mwanaume peke yake!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
hahahahaha,,Noted ,,LolNdomana sitak hata kuoa japo nina uwezo, nawagegeda tu nakuwatimua asbh maana washenzi sana hawa viumbe