Naxria abdalla
Senior Member
- Feb 28, 2025
- 158
- 281
Natumai nyote mu wazima wa afya.
Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya kichwa yasiyopona kwa takriban mwezi sasa. Kila siku, ikifika muda fulani, kichwa huuma sana na kunikosesha raha.
Nimetumia dawa nyingi bila mafanikio.
Je, huu ni wakati muafaka wa kupima macho ili kuona kama tatizo linaweza kuwa macho yangu?
Huenda nikapata afueni.