Napata maumivu kifuani nikimeza maji au Chakula

zukisa

Member
Feb 8, 2017
47
28
Habari za sahizi wana JF.

Nimekua nikipata maumivu makali sana ya kifua upande wa kushoto nikiwa nameza chakula au kimiminika chochote. Tatizo hilo limeambatana na vichomi hapo hapo kifuani, kwenye mabega, mkono pamoja na mgongo upande huu huu wa kushoto, na ata nikiwa nacheua pia nasikia maumivu.

Mwanzo nilidhani tatizo ni ziwa nikaenda kufanya utrasound lakini nikaambiwa hakuna tatizo.

Naombeni msaada Doctors kuniambia hii inaweza ikawa tatizo gani.
 
Nilifanya Safari Mikoa Yote Kanda Ya Ziwa, Na Wilaya Koo Likawa Linauma Nikimeza Mate Kwa Muda Nilipomaliza Kazi Nikaenda Kituo Cha Afya.

Nikafanyiwa Vipimo Na Kupewa Dawa, Dawa Nilitumia Week Tatizo Kwisha
 
Hiyo wanaita acid reflux, acid uliyozidi tumboni hupanda mpaka kwenye Koo. Nishapitia hii Hali kwa sasa nipo fresh. Unatakiwa ubadilishe jinsi ya kula tu.

sawa mkuu, asante sana
 
Hiyo wanaita acid reflux, acid uliyozidi tumboni hupanda mpaka kwenye Koo. Nishapitia hii Hali kwa sasa nipo fresh. Unatakiwa ubadilishe jinsi ya kula tu.
Nina changamoto ya acid reflux na nimetumia dawa kwa miez mitano,naomba unisaidie ulivyofanya mpaka ukapona in delail
 
Back
Top Bottom