Napata huo ujumbe kila ninapowasha pc yangu

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
796
250
Habarini wadau naombeni msaada wenu wa kitaalamu kama kichwa cha habari kinavyosema napata huo ujumbe kila ninapowasha pc yangu kwamba leseni yangu ya kutumia windows inaisha mda siyo mrefu lakini nikienda kwenye setting nakuta Windows is activated na nilifanikiwa ku activate. naombeni msada wadau jinsi ya kutoa hii error nimeambatanisha na picha. Asanteni
IMG_20181012_104253_792.jpeg
IMG_20181012_104536_890.jpeg
 

ISIS

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
91,521
2,000
Nenda kwa waliokuuzia watakusaidia au kwa mtaalam wa ICT ili aanze kui stall hiyo window upya, ni hamna jinsi walahi
Pole sana, ilimtokea jamaa mmoja ikabidi airudishe kwa waliomuuzia, wakamsaidia!
 

ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,542
2,000
Habarini wadau naombeni msaada wenu wa kitaalamu kama kichwa cha habari kinavyosema napata huo ujumbe kila ninapowasha pc yangu kwamba leseni yangu ya kutumia windows inaisha mda siyo mrefu lakini nikienda kwenye setting nakuta Windows is activated na nilifanikiwa ku activate. naombeni msada wadau jinsi ya kutoa hii error nimeambatanisha na picha. Asanteni View attachment 895379 View attachment 895387
download hapa: Re-LoaderByR@1n.exe (1.33MB) - SendSpace.com
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom