kamandamchovu
Member
- Feb 5, 2017
- 19
- 10
So umekimis kimba kigum cha zamani mzeee??

Daa!!pole sana mkuu huo ugonjwa mmbaya sana vipi uliwahi kula dawa za safura au minyoo siku au miezi ga hivi karibuni??Habari zenu madakitari mliopo hapa jf doctor...
Naomba mnisaidie,kwa muda sasa napata choo kama bata vile yaani kama una harisha lakini siyo,nakunya choo kinatawanyika badala ya kufyatua makimba kama zamani.
Nakumbuka zamani mtu unafyatua pyaaa...huna haja ya kuchamba lakini siku hizi hali ni tofauti huwezi kunya bila kuchamba tena maji yawe mengi.
JE KUNA TATIZO GANI HAPA???