LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 4,469
- 12,302
ExactlyFuta kila kumbukumbu inayomuhusu..... Picha,badili mazingira mapya,anzisha mahusiano mapya.
ExactlyFuta kila kumbukumbu inayomuhusu..... Picha,badili mazingira mapya,anzisha mahusiano mapya.
Ahahahah..kabisaa mkuu, yan hapa nilipo aahhh yan fikra zikizobaki ni ile nina watoto na hao watoto wana mama na hiyo mama ndio ex wife. Hiki ndio kitu pekee nakumbuka mara moja moja kuhusu yule mtu. Nilishamsahau vibaya sanaHUJAPATA MWANAUME SAHIHI. TULIZA KIPAPIRO KWANZA HICHO. NA KISHA UWE BUSY SISI WANAUME HUWA TUNASAHAU MAPEMA TU. NYIE WANAWAKE HUWA SHIDA TENA KAMA ALIKUWA ANAKUFADHILI UNAMISS PESA ZAKE.
Aione Komeo Lachuma
Sawa MkuuBado hujakuwa, hy sio changamoto
😳Free Tundu Lisu!
Nitajaribu chiefMtie kinyaa anza kuona kasoro zake kisha msahau
No Election! Na wewe nipe ushauri sasaKwanza nijibu hii : NO REFORMS ?????
😀 Mapenzi yana Run DuniaKila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake,hadi wewe Waufukweni gwiji wa breaking news unateswa na mapenzi?
Yah yaan una anza kumtoa kasoro kwanza mchafu ana nuka yaan ata vya uongo una vijaza kichwanNitajaribu chief
kila kitu kinawezekana👊Nilianza na kuchoma moto albamu yetu ya harusi ya picha 500.
Nikachoma moto nguo zoote alizoninunulia
Nikafuta picha zoote kwenye simu za toka 2010
Nikaacha nyumba na kuhama kabisa Dar.
Nilipofika mkoa, nikajipa likizo ya muda mrefu.
mkoani pia sikukaa mjini, nikaenda pembezoni kabisa mwa mji mzee wangu ana mji huko mashambani sana ila kuna umeme na maji.
HUko pembezoni sikutaka kukaa tu iddle, nikafungua mradi wa nguruwe na ufugaji wa kuku chotara , wako kama 500 sasa hivi.
Sasa hivi viumbe vinahitaji ufuatiliaji wa kila siku, so kila siku toka asubuh niko busy.
Mbali na hapo, nikanunua vifaa vya mazoezi bush hapo hapo, nika establish ka local gym, hapo nakula nondo tu alfajiri na jioni.
USiku na sit for my computer works ku serve clients wangu wachache.
Maisha ni completelly different, sio tu nimemsahau, nimetengeneza utaratibu mpya kabisaa ambao hauhusiani hata kidogo na maisha ya zaman katika namna ambayo kumsahau wala sikutumia nguvu. Ikawa ni by default tu, utaratibu ukanitoa kwenye mfumo wa zaman nikajaa kwenye mfumo mpyaa
AM DOING GREAT
Sometime ni hofu tu but who knows kwamba the best can be on the other side??kila kitu kinawezekana👊