njoo nikupangie bajeti ila ujiaNdae mlo m1 kw ck,, bia unaistaafu,,,, vimada marufuku,,,,,, 4Gb utazisikiaga kwa wenzio,,,, nyumba ya kupanga yenye kibatar,,,, kutembelea / kusalimia marafik / ndg ndo mwisho,,, kazini unapanda daladala 1 kM kuna inayofuata unapaswa utembee,,, [marufuku kupanda mabasi y mwendo kasi] mda wa kazn utakula ofa ya msOsi wa ofisin hakuna kununua maji utakunywa ya bomban,,,,,, nguo 7 tu sulual2 tishrt 5,, viatu mtumba 1 yeboyeb1,,,, kunyoa mara 1 kw mwez,,,,, mafta y kupaka babycare,,,, sabun OMO hyohyo unaogea na kufulia----------- MPAKA HAPO ULIDHIKE NA KILE UNACHO KITAFTA,,,. malengo hayaji kwa kujiluxiary mkuu.