Napata changamoto kubwa katika kupanga mambo yangu

Napata changamoto kubwa katika kupanga mambo yangu

DOGO...PIA USICHANGANYIKIWE KWA SANA KISA HUJAWEKA AKIBA BANK...PRINCIPLE ZA KUFANYA SEVING NI PALE KUNAPOKUWA NA ZIADA...ASIKUDANGANYE MTU KUWA UTASEVU WAKATI KIPATO BUKU MATUMIZI SAHIHI MILIONI...HATA UKIMPA MALAIKA AFANYE SEVINGS ATASHINDWA.

MIE BINAFSI SIAMINI SANA KATIKA SEVINGS ILA NAAMINI KATIKA KUFANYA MATUMIZI SAHIHI NA ULIYOYAPANGA....USIJIDANGANYE KUWA UNASEVU WAKATI HELA ULIYOWEKA BANK NI KWA AJILI YA KUNUNUA KIWANJA MWEZI WA 12. HIYO SIO SEVINGS HIYO NI PESA ILIYOWEKWA BANK KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA MIPANGO FULANI ULIYOJIWEKEA.

SEVINGS NI PALE MAHITAJI YANAPOKAMILIKA SO UNAWEKA AKIBA KWA AJILI YA YANAYOWEZA KUJITOKEZA (UNCERTAINTIES)
Kiukweli nimechanganyikiwa. Lakini nawashukuru kwa ushauri wenu. Naanza upya kupitia michango yenu wote. Kisha nijitizame kuona nini nianze nacho.

Kwangu changamoto sio kuanza, bali kuendelea na hata kufikia kilele cha jambo nilokusudia kulifanya. Najiona mvivu na mzembe. Niliepoteza muda kufanya mambo mengi yasiyo na muhimu ikiwa ni pamoja na kulalamika, kuomba ushauri... kisha tena kulalamika... kuomba ushauri... sioni kama nasogea na kama nasogea basi nafsi yangu haijaridhika. It is like I could do more and I have done nothing.

Nimekuwa muoga na hii imeniongezea zaidi matatizo. Hasa kiakili.
 
Haya matatizo na mimi ninayo tena nikiwa napesa nachanganyikiwa sana na situli katika matumizi

WEWE TATIZO LAKO NI TOFAUTI NA LA MSHIKAJI...DAWA YA TATIZO LAKO NI KUWA HUJAWAI KUSHIKA PESA NYINGI KWA WAKATI MMOJA KWAHIYO UKISHIKA UNADATA NA KUWA KAMA CHIZI NA UNAJIONA WEWE NDIO WEWE WENGINE MAFISI..UNAWEZA KUMCHAPA MTU VIBAO NA KUMLIPA...TATIZO HILO ALIWAHI KUWA NALO MR NICE WA KUKU KUPANDA BAISKELI.

TIBA YA TATIZO LAKO NI
1- KUUZA DUKA LA JUMLA AMBAPO UTAKUWA UNAKUTANA NA PESA NYINGI KWA SIKU KIASI KWAMBA UNAZIZOWEA..SAY UNAKAMATA PESA KAMA TSH 5 MILLION KILA SIKU MWISHOEE UNAJIHISI NI ZA KWAKO JIONI IKIFIKA UNAMKABIDHI BOSI WAKO.
2- FANYA KAZI BANK KAMA BANK TELLER..UTAZOWEA KUKAA NA PESA NYINGI SO MZUKA UTASHUKA
3- UAJIRIWE KUWA MFANYA USAFI WA BANKI KUU TENA KITENGO CHA STRONG ROOM...KILA SIKU UNAFAGIA MAGUNIA YA PESA NA VUMBI LA MABILIONI LINAKUPULIZA JIONI UNARUDI KWENU UMEKINAI KUZIONA PESA.

AMINI UTAPONA UGONJWA WAKO NDANI YA MIEZI MI3 TUU.
 
Kiukweli nimechanganyikiwa. Lakini nawashukuru kwa ushauri wenu. Naanza upya kupitia michango yenu wote. Kisha nijitizame kuona nini nianze nacho.

Kwangu changamoto sio kuanza, bali kuendelea na hata kufikia kilele cha jambo nilokusudia kulifanya. Najiona mvivu na mzembe. Niliepoteza muda kufanya mambo mengi yasiyo na muhimu ikiwa ni pamoja na kulalamika, kuomba ushauri... kisha tena kulalamika... kuomba ushauri... sioni kama nasogea na kama nasogea basi nafsi yangu haijaridhika. It is like I could do more and I have done nothing.

Nimekuwa muoga na hii imeniongezea zaidi matatizo. Hasa kiakili.

NAFSI YAKO HAIRIDHIKI NA MAENDELEO ULIYOFANYA SABABU UNAJILINGANISHA NA WENZAKO WALIOKUZIDI...HILO NI KOSA. HATA MIE NINAO AGE MATES WANGU NI BILIONEAS LAKINI SIJILINGANISHI NAO AS MIE NINA MALENGO YANGU YA MAISHA.
MFANO UNAENDESHA VITZ AGE MATE WAKO ANA BOUGATI SASA TATIZO LINAKUJA UNAPOTAKA KUWA KAMA YEYE BUT THE FACT IS YOU ARE ALL DRIVING... YEYE GARI LA MABILION WEWE GARI YA MILIONI, LAKINI WOTE MUNAINGIA SHELL KUWEKA MAFUTA NA WOTE KWENYE SHEREHE MUNAENDA MUNAPAKI MAGARI NA WALINZI WANALINDA.

PIA HUJUI KWANIN YEYE KA-OPT KUNUNUA BUGATI WAKATI ANAISHI NYUMBA YA KUPANGA NA WEWE UMENUNUA VITZ UNAISHI KWAKO.... HESHIMU MALENGO YAKO USIWE WA KUFUATA UPEPO WA MALENNGO YA WENZAKO. YEYE KANUNUA BUGATI ILI AWAGONGE MADEMU WAKALI TOWN...WEWE UNA MKEO KWAHIYO TARGET SIO KUGONGA VIDEMU VIKALI,...TARGET NI KULEA NA KUKUZA FAMILIA YAKO.

BE FOCUSED TO YOUR TARGETS..THATS IT.
 
Jibu ni moja tu kuwa mbahili kwako wewe na kwa wengine hayo yoooooote yatapita na utakuwa mpya.... Ninaposema ubahili namaanisha hata inapofikia umeyumba kichumi na una hela benk kama hazina na akiba yako usiende kudroo fedha ili ule usiku.. Piga deshi fanya mishe zingine za kukuingizia fedha ili le...

Siri ya mafanikio brother ni ubahili espencialy kwenye finance
 
Kwanza kabisa pigia bajeti mshahara wako kabla ya yote,halafu amua uanze na lipi unalotaka,Mfano mimi nilivyopata ajira nilikaa home miezi sita then nikahama.
Nikanunua fenicha zangu nikapanga chumba na sebule,Nika make miaka miwili nikanunua kiwanja nikaanza na msingi,nikawa nanunua mifuko ya cement nahifadhi home kwetu baada ya miezi mi6 nikamuita fundi akaendeleza nikapiga na bati kabisa.Mwaka huu feb.nimeweka milango na madirisha hivi keshokutwa nnapiga cement chini na nnahamia.Hiyo ndio mipango ilivyo.
 
Safi Mkuu. I hope one day na Mimi nitakuja toa ushuhuda kama huu.

Kiwanja nimepata but sijakimalizia kukilipia. Tatizo sikukipigia hesabu yake mapema. Nafanya mambo lakini kwa kukurupuka.

Na hii ndio changamoto yangu kubwa. Na hata madeni niliyonayo yanatokana na Mimi mwenyewe kutokujipa muda wa kutosha kujiandaa na wakati mwingine opportunities zinatokea na ninakuwa sijajiandaa hivyo kuhofia kunipita naona bora nikope nipate kile nachotaka kisha nirudishe hela taratibu.

Ni changamoto ambazo kwa asilimia kubwa zinaanzia kwenye kichwa (mawazo) yangu. But hopeful I will improve in a cause of time.
 
njoo nikupangie bajeti ila ujiaNdae mlo m1 kw ck,, bia unaistaafu,,,, vimada marufuku,,,,,, 4Gb utazisikiaga kwa wenzio,,,, nyumba ya kupanga yenye kibatar,,,, kutembelea / kusalimia marafik / ndg ndo mwisho,,, kazini unapanda daladala 1 kM kuna inayofuata unapaswa utembee,,, [marufuku kupanda mabasi y mwendo kasi] mda wa kazn utakula ofa ya msOsi wa ofisin hakuna kununua maji utakunywa ya bomban,,,,,, nguo 7 tu sulual2 tishrt 5,, viatu mtumba 1 yeboyeb1,,,, kunyoa mara 1 kw mwez,,,,, mafta y kupaka babycare,,,, sabun OMO hyohyo unaogea na kufulia----------- MPAKA HAPO ULIDHIKE NA KILE UNACHO KITAFTA,,,. malengo hayaji kwa kujiluxiary mkuu.

Mkuu ukifanya hivi.kuna uwezekano total expenses per day ikawa jero.
 
Teh teh teh Mkuu ukifanya hivi.kuna uwezekano total expenses per day ikawa jero.
 
Mkuu ukifanya hivi.kuna uwezekano total expenses per day ikawa jero.
Ahaha let us assume 500*28 dys za kazn =? ndan ya mishahar 5 anakiwanja chake tayar if total salary is 600000/ 400000 per month.
 
Jibu ni moja tu kuwa mbahili kwako wewe na kwa wengine hayo yoooooote yatapita na utakuwa mpya.... Ninaposema ubahili namaanisha hata inapofikia umeyumba kichumi na una hela benk kama hazina na akiba yako usiende kudroo fedha ili ule usiku.. Piga deshi fanya mishe zingine za kukuingizia fedha ili le...

Siri ya mafanikio brother ni ubahili espencialy kwenye finance

NAPINGA HOJA YA KUWA BAHILI NA HASA UBAHILI WA KIJINGA...ATAJAKUFA KWA MAGONJWA YANAYOAMBUKIZWA NA NJAA KAMA VIDONDA VYA TUMBO NA UTUMBO KUJISOKOTA.... THEN BANK MAREHEMU KAACHA MIL 200 ILA KAFA KWA NJAA NA MSOSI UNAPATIKANA KWA BUKU 2. AIBU MPAKA KWENYE KABURI LA MAREHEMU.

UJUWE WAFU WAKIFA HUWA WANAKUTANA NA KUPIGA STORY KAMA MFUNGWA ANAVYOTUPWA JELA ... SIPATI PICHA DOGO KAFA AKIFIKA HUKO ANAWASIMULIE WENZIE " WANA NIMEKUFA KWA VIDONDA VYA TUMBO NILIKUWA NAZICHANGA ILA BANKI NIMEACHA KAMA 200MIL" WENZAKE WANAWEZA KUMTIA MAKOFI KWA UZEMBE NA UJINGA.
 
Acha kutuletea story zako za juma na uled
 
Pole saana, Wala hujachelewa ndugu kutimiza malengo yako.

Jambo moja zuri juu yako ni kuwaabadiliko yameanzia nafsini au ndani yako (intristc motivation) hilo ndio jambo kubwa pale unapotaka kubadilika.

Unahamu ufike hatua Fulani nzuri ila tatizo lako ni how you go through hapo unapopataka.

From your explanation hapo inaonesha huweki malengo na time to achieve it, it seem ukifikiria jambo unataka hapo hapo ulipate. That is no. Hatuendi hivvyo

Lazima kila jambo ulipe muda ili kulitimiza barabara... Ulipo amua kupanga ni lazima kwanza ujipange ufanye utafit wapi utaenda kukaa, pana changamoto gani, nn kinahitajika utakipata vp?... Sio tuu umefikiria then kesho unaenda...lazima uingie kwenye madeni

Vile vile hakikisha unachokipanga kinakuwa feasible...kinakuwa within your ability to implement and achieve hata kama sio 100% but at least kiwango Fulani cha kuridhisha. Ukipanga jambo nje ya uwezo wako utaishia kuwa na frustrations.

Weka vipaombele, lipi Liwe lakwanza lipi lifate....huwez kutekeleza yote kwa pamoja ila unaweza yafanya yote kwa kujipa vipaombele...ndio maana umekuwa na deni then unaingia katika maden mengine. Mwishowake you just lose focus.

Kitu kingine unatakiwa uridhike hapo juu umesema swala la kwamba hujawahi kufanya maendeleo, hujawah kufikia malengo yako, while pengine unasema ulikopa kufanya maendeleo... Dah unajichanganya mwenyewe kumbuka maendeleo sio abrupt ni slow process na kwa hatua, moja baada ya nyingine. Ridhika na hizo ndogo sali omba upige nyingine. Usipo kuwa na moyo Wa kuridhika Haata ukifanya nn utajiona hauja piga hatua

Lastly...unamalengo mengi saana unataka uwe mwana mazoez..hilo jepes tenga muda anza taratibu na mazoez mepesi.

Unapenda kuwa msomi mbobezi hilo pia ni swala LA muda na kujipa bidii katika masomo unayosoma.

Unapenda kuwa mcha Mungu, sio mnafiki, muongo Wala mzinifu. Haya yote yanawezekana kama ukimpa Mungu maisha yako ukikataa tamaa za mwili Sali saana...kuwa na hofu ya mungu....

Good luck
Ushauri wako mzuri sana,.
 
Inaonekana kuna watu unajilinganisha nao ,acha kwanza kujilinganisha na wengine kwani maisha yako ni yako njia aliyopitia mwenzio inaweza isikufanikishe ,one step at a time OK.
Pia jaribu kubadili mtizamo wako THINK POSITIVE naenda taratibu anza na kimoja badala ya kingine naamini utafika unapohitaji.
Zaidi muombe Mungu akupe busara na uvumilivu uweze kufanya maamzi sahihi
 
Am trying this hard. But big problem is an currently suffering from unfounded suspicions.
 
Back
Top Bottom