Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,378
Halafu loser anakuwaje?....
ANASUBIRI MASHINDANO YAJAYO KAMA ATASAJILIWA NA KUWA MMOJA WA WACHEZAJI BORA....LOSER WILL ALWAYS REMAIN WITH A GREAT EXPERIENCE...AAHAHAHHAA.
Halafu loser anakuwaje?....
Ili ufanikiwe inabidi uwe na roho mbaya hata kwako mwenyewe.Members ya JF Nawasalim.
Mimi ni kijana. Umri wangu haujavuka miaka 30. Naomba Ushauri wenu katika hili....
Kwa kipindi kirefu nimekuwa kwenye jitihada binafsi za kubadilisha sehemu kubwa ya tabia zangu ambazo mimi mwenyewe ninaziita "mbaya" lakini changamoto kubwa ni kuwa sijafanikiwa. Bado najiona nipo vile vile.. bado najiona ni mtu anaehitaji kujifunza mengi na kubadilisha mambo mengi.
Mfano, Nina kazi ambayo namshukuru sana mwenyezi Mungu. Maana naona ni muujiza mimi kuipata. Kazi hii japo nilianzia ngazi ya chini kabisa "Volunteer" niliipata hata bila kuwa na vigezo sahihi kielimu ukiachilia "experience" ambayo nimeipata hapa hapa ofisini na ni majuzi tuu ndio nimefanikiwa kupata cheti sahihi cha shule. Na bado nasoma.
Kama ilivyo ofisini na nyumbani. Changamoto kubwa nayopitia ni kushindwa kwa asilimia kubwa kupanga mambo yangu. Sehemu kubwa ya maisha yangu kwa kila siku imetawalwa na "Frustrations". Iam always late.
Japo ninamshahara Mzuri, lakini nina madeni karibu nusu ya mshahara wangu. Na hii imetokana na ile tabia yangu ya kutaka mabadiliko ya haraka baada ya kujiona nimechelewa na hivyo kuanza kufanya vitu ambavyo naviita vya kimaendeleo kwa haraka na kupelekea kujikuta naingia kwenye madeni ambayo baadae nimekuja kugundua kuwa, nayalipa kwa miezi mingi sana. Kiasi kwamba hata kabla sijamaliza kuyalipa linatokea lingine ambalo kwa kujitizama nafasi yangu na mshahara wangu, naona nilipaswa kuwa nalo miaka mitatu au miwili iliyopita. Hapo nitafanya kila namna nipate pesa ninunue....
Tizama hii. ......
Nimefanya kazi miaka mitano sasa. Lakini sasa ndio nimemaliza mwaka tokea nitoke nyumbani na kwenda kupanga"
Ndani ya mwaka huo huo mmoja ambao hiyo miaka minne nyumbani sikuwahi kuwaza wala kuweka hakiba ya pesa kwaajili ya kujakujitegemea. Niliwaza tuu kisha siku moja nikaamka nikatafuta mahala pakukaa nikalipa kodi na kuhamia. Hata nyumbani siku aga..... habari hii ni ndefu.
Kwa kifupi napata wakati mgumu sana kupanga na kutimiza mipango yangu. Mambo mengi ambayo nayaona ndio ya msingi sifanyi. Tatizo kwangu ni nini? Na ni vipi nitaweza kujitoa hapa nilipo? Kila siku mimi ninaanza. Sijawahi kuendelea. Sijawahi kuyafikia malengo yangu.
Vingi nilivyonavyo naona kama sikuvistahili.... hasa nikijiangalia tabia zangu na matendo. Kwanini najidharau? Kwanini naona kama sikuvistahili? Nje am very respectful lakini ndani najiona ni mtu mwenye changamoto kubwa ya kujibadilisha na kuwa aina ya mtu ambae siku zote nimekuwa nikitamani kuwa.
Napenda kuwa mtu wa mazoezi, napenda kuwa na mwili wa kimazoezi. Napenda sana kuwa msomi hasa niliyebobea kwenye masuala ya manunuzi. Napenda kuwa mcha Mungu wa kweli na sio mnafiki. Nisizini huku nikimsifu Mwenyezi Mungu, niseme uongo, nioe Mke Mmoja. Tujaliwe watoto. Nijenge nyumba ya kuishi na familia yangu. Niwepo kwaajili ya Familia yangu, Ndugu zangu, marafiki na Jamii inayonizunguka. SITAKI KUWA WALA KUSHIRIKI UNAFIKI.
Changamoto kubwa ni vipi nitayaweza haya yote kwa Matendo? Kila napopanga. Asubuhi naamka na kupangua. Ya Msingi nayasogeza "Kesho" ambayo sijawahi kuifikia.
Am breaking down. Am worried. How do I survive this?
Hebu nieleweshe Mkuu. I do pray but after my prayer is done nifanye nini? Nimedevelop woga kiasi kwamba hata nikipata changamoto kidogo tuu kiofisi na over react. Sometimes nayasikia mapigo yangu ya moyo yakiongezeka speed. Hapo naanza kuhisi labda naweza patwa na heart attack.It's never too late to start over. If you are not happy with a kind of life your living there is a room for change. I would say getting closer to your creator, bow that's the only way you can be content. Also there’s no faster way to improve than to have someone work with you on your goals.
Hahahahahahahahah we mbaya aiseenjoo nikupangie bajeti ila ujiaNdae mlo m1 kw ck,, bia unaistaafu,,,, vimada marufuku,,,,,, 4Gb utazisikiaga kwa wenzio,,,, nyumba ya kupanga yenye kibatar,,,, kutembelea / kusalimia marafik / ndg ndo mwisho,,, kazini unapanda daladala 1 kM kuna inayofuata unapaswa utembee,,, [marufuku kupanda mabasi y mwendo kasi] mda wa kazn utakula ofa ya msOsi wa ofisin hakuna kununua maji utakunywa ya bomban,,,,,, nguo 7 tu sulual2 tishrt 5,, viatu mtumba 1 yeboyeb1,,,, kunyoa mara 1 kw mwez,,,,, mafta y kupaka babycare,,,, sabun OMO hyohyo unaogea na kufulia----------- MPAKA HAPO ULIDHIKE NA KILE UNACHO KITAFTA,,,. malengo hayaji kwa kujiluxiary mkuu.
Asante Mkuu.Pole saana, Wala hujachelewa ndugu kutimiza malengo yako.
Jambo moja zuri juu yako ni kuwaabadiliko yameanzia nafsini au ndani yako (intristc motivation) hilo ndio jambo kubwa pale unapotaka kubadilika.
Unahamu ufike hatua Fulani nzuri ila tatizo lako ni how you go through hapo unapopataka.
From your explanation hapo inaonesha huweki malengo na time to achieve it, it seem ukifikiria jambo unataka hapo hapo ulipate. That is no. Hatuendi hivvyo
Lazima kila jambo ulipe muda ili kulitimiza barabara... Ulipo amua kupanga ni lazima kwanza ujipange ufanye utafit wapi utaenda kukaa, pana changamoto gani, nn kinahitajika utakipata vp?... Sio tuu umefikiria then kesho unaenda...lazima uingie kwenye madeni
Vile vile hakikisha unachokipanga kinakuwa feasible...kinakuwa within your ability to implement and achieve hata kama sio 100% but at least kiwango Fulani cha kuridhisha. Ukipanga jambo nje ya uwezo wako utaishia kuwa na frustrations.
Weka vipaombele, lipi Liwe lakwanza lipi lifate....huwez kutekeleza yote kwa pamoja ila unaweza yafanya yote kwa kujipa vipaombele...ndio maana umekuwa na deni then unaingia katika maden mengine. Mwishowake you just lose focus.
Kitu kingine unatakiwa uridhike hapo juu umesema swala la kwamba hujawahi kufanya maendeleo, hujawah kufikia malengo yako, while pengine unasema ulikopa kufanya maendeleo... Dah unajichanganya mwenyewe kumbuka maendeleo sio abrupt ni slow process na kwa hatua, moja baada ya nyingine. Ridhika na hizo ndogo sali omba upige nyingine. Usipo kuwa na moyo Wa kuridhika Haata ukifanya nn utajiona hauja piga hatua
Lastly...unamalengo mengi saana unataka uwe mwana mazoez..hilo jepes tenga muda anza taratibu na mazoez mepesi.
Unapenda kuwa msomi mbobezi hilo pia ni swala LA muda na kujipa bidii katika masomo unayosoma.
Unapenda kuwa mcha Mungu, sio mnafiki, muongo Wala mzinifu. Haya yote yanawezekana kama ukimpa Mungu maisha yako ukikataa tamaa za mwili Sali saana...kuwa na hofu ya mungu....
Good luck
u need a strong woman to help you my friendAsante Mkuu.
Wakati mwingine nahisi labda nakosa descipline. Maana nikiweka malengo ya kusave mathalani 450,000/- kwa mwezi unakuta mwisho wa huo mwezi nina 50,000/- tuu.
Yaani inakuwa ni as if nikipanga ndio matatizo ya kiuchumi yanaongezeka. Kuna kipindi nikaamua kutosave. Nikasema kwa siku nitatumia 10,000/- lakini baada ya wiki nikifanya tathmini najikuta nimetumia 150,000/-.
Nahisi kuna kitu nimemiss. Am looking for it. Somewhere somehow kuna mambo nafanya ambayo sio sahihi.
Nisiwe Muongo. Nina miaka mingi sijaingia kanisani. Huwa nachoka kufuata zile formalities za kanisani. Natamani mchungaji aongee kuhusu maisha na namna ya kushinda changamoto za maisha.
Nilianza kwenda kwenye morning glory. Mwanzoni nikawa nafurahi lakini as days pass on nikawa naboeka na baadhi ya mafundisho. Ikawa nikienda jumatatu kama sikulipenda somo siendi tena until other week Monday.
Mwisho nikaacha kabisa. Nikaanza kusoma vitabu vya self empowerment. Nakuwa active for a while then all over the sudden narudi pale pale.
Nikawa na subscribe YouTube channels za motivational speeches nyingine nimezidownload. But nimeishia kuzikariri.
Nimekuwa mtu wa kushauri watu mambo mazuri but I can't do the same for my self.
Najisikia vibaya. But sijakata tamaa. Nina miaka mitano muajiriwa but Leo hii account yangu ina 100,000/- nikiwaza roho inaniuma maana naona wenzangu wanavyopata tabu mtaani.
Mimi nina kazi but naona nimeshindwa kujiendeleza.
Kuna kipindi nilikuwa natembea na mpaka laki mbili mfukoni. Nanunua nguo isiponiyosha nawapa wadogo zangu. Nilipenda zaidi kufanya wengine wafurahi kuliko Mimi mwenyewe.
Nilikuwa najisikia vibaya kumpa omba omba shillingi mia. Nikitoa hela ndogo sana ni elfu mbili. Nilikuwa najisikia furaha nikiona wakifurahi na kunishukuru. But in long run sikuweza kujiwekea chochote.
Kila siku naanza kubadilika. Kila siku kasema Leo ni siku yangu. But jioni utanikuta alone nikijilaumu kwa kutumia hela vibaya ama kuutumia muda wangu vibaya.
Sitaki kuamini kuwa it's an internal issue, but slowly naanza kukubali.
Nilipanga kila Sunday morning niwe nakimbia maana weekdays nakuwa busy na kazi pamoja na shule ila ikifika jumapili Asubuhi najisemea acha nilale maana wiki nzima nilikuwa busy mazoezi nitaenda jioni. Nitaamka saa nne nifue, nioge nile hapo ni saa tisa ikifika jioni hamu ya mazoezi imekata natamani nikae niangalie movie ndani ya nafsi nasema nawaza how to improve my self.
It has been rotating like that. Everyday back again at the point of departures. Yaani it's like a treadmill
Nielekeze namna ya kusimamia bajeti nayojiwekea. Nipe ujanja wa kuwakwepa ndugu, jamaa na marafiki ambao mara kwa mara wakikwama wamekuwa wakiniomba msaada. Nielekeze ni vipi naweza ithibiti njaa yangu. Ni vipi naweza kula mlo mmoja na bado nikawa productive in a day. How do I develop such a descipline?njoo nikupangie bajeti ila ujiaNdae mlo m1 kw ck,, bia unaistaafu,,,, vimada marufuku,,,,,, 4Gb utazisikiaga kwa wenzio,,,, nyumba ya kupanga yenye kibatar,,,, kutembelea / kusalimia marafik / ndg ndo mwisho,,, kazini unapanda daladala 1 kM kuna inayofuata unapaswa utembee,,, [marufuku kupanda mabasi y mwendo kasi] mda wa kazn utakula ofa ya msOsi wa ofisin hakuna kununua maji utakunywa ya bomban,,,,,, nguo 7 tu sulual2 tishrt 5,, viatu mtumba 1 yeboyeb1,,,, kunyoa mara 1 kw mwez,,,,, mafta y kupaka babycare,,,, sabun OMO hyohyo unaogea na kufulia----------- MPAKA HAPO ULIDHIKE NA KILE UNACHO KITAFTA,,,. malengo hayaji kwa kujiluxiary mkuu.
Umesema kweli. Ninayotabia ya kukilinganisha na wenzangu. Na sikuzote naona wao wako mbele yangu hivyo kujiona natumia vibaya muda wangu na hela zangu.Peer/Society pressure is what makes you wanna do a million things at once. You keep up with that "I'm late" bs, and you will always play catch up. You know your goals, so draw your master plan.
Financial discipline. I got a pretty messed up one too, and I'm still working on it. But for you, stop giving in to the outside pressure will be a good start.
As for your spiritual conflicts; just be true to yourself first. God made everybody in his own image, so you're the closest thing to your God. Do what you think is right, and you'll be right before the main man.
The rest, don't stress. Will come with age and time, long as you stay in the right track.
How do I do that?maswali
kanuni
majibu
vyote unavyo umevitaja mpaka ushauri umeusema..
tatizo lako hujajitambua
jitambue kwanza kila kitu kitakwenda katika mstari..
Mwenyezi Mungu anisaidie ktk hili mkuuu need a strong woman to help you my friend
amenMwenyezi Mungu anisaidie ktk hili mkuu
umewahi kufunga milango yako ukakaa chini ukajitafakari peke yako kwa muda?How do I do that?
Kwanini unesema hivyo? What made you think like that?I think u shld start by stopping any kind of addiction that u have
How did you manage to make it through?I've been there..