dah haya mambo mkuu wangu yanaweza kukufanya ukaumia hata kisaikolojia,njia nzuri ni kuhakikisha unatreat vizur tena kwa upendo mkubwa,na wala usimwonyeshe kama unawasiwasi naye,always mwambie nakuamin cna mke wangu na cdhan nitakua na hofu juu yako.wala cmu usiishike,then kimya kimya,tafuta hata kafanya kaz ka kike maeneo ya kazin hata kama mlinzi awe wa kike lakin mpe kisa halisi,mwambie akusaidie kumchek utampata 2 kama unajua kuongea na watu.sometimes akienda oga,au kalala cmu c inakua pemben chukua pitia pitia bila yeye kukuona,mungu hatokuangusha hata cku moja kama wewe ni mwaminifu.nataman ningekuambia mwache kuna cku atajiheshmu nachoogopa haya maradh mkuu wangu unaweza mwacha ila akikuletea Ukimwi ndo hvyo tena unakata roho.