Naondoka mie. Nawaachia chuma hiki.

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,659
3,705
Naondoka mie, tumeleta chuma hiki.
Pale nilipochoka mie, yeye sasa anaenda kwa kasi.
Anazo nguvu za kutosha kuliko mie.
Mlikuwa mnasema mimi mpole mpole, sasa mabadiliko kuleta mkali.
Na ameanza kutema checheeee.

    Tuliipenda wenyewe, chaguo letu wenyeweee           

60be37dcab7ec26af5e6c702036bdecb.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom