Naona web ya HESLB iko Busy,kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naona web ya HESLB iko Busy,kulikoni?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Msafiri Kasian, Sep 7, 2012.

 1. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Nimejaribu kama mara 3 kwenye mida ya saa 1:30 usiku,ikaniletea ujumbe huo hapo chini

  "The connection was reset  The connection to the server was reset while the page was loading.

  The site could be temporarily unavailable or too busy. Try again in a few
  moments.
  If you are unable to load any pages, check your computer's network
  connection.
  If your computer or network is protected by a firewall or proxy, make sure
  that Firefox is permitted to access the Web."
  Nadhani jamaa ndo wanaweka matokeo ya mikopo.
   
 2. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  wewe unataka utafute nini huko ambacho wenzako hawatakiwi kukitafuta?
   
 3. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  kwani mi nimesema kuna kitu mtu hatakiwi kukiona huko? Sijakuelewa.
   
 4. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  lets wait
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Mbona inafunguka,na hakuna jipya wala.
   
 6. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hamna jipya!! ila sio siri jamaa wanatutesa bhana
   
 7. Babarita

  Babarita JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 374
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  mkuu upo interior za wapi?labda angalia mtandao huko ni vipi?
   
 8. S

  Suma mziwanda kageye JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona inafunguka tena vizur xana but hamna jipya.ila hawa jamaa wanatutesa kishenz yaani,waweke mambo waz il 2jue mwaka huu 2naenda chuo au hatuend maana mpaka xaxa 2po dilema.
   
 9. G

  GHANI JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Weka bandle
   
 10. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Haya tusibishane hapa,kama huamini kwamba ilikuwa hivyo jana,piga kimya. Hata mimi kwenye mida ya saa 2 asubuhi nilifungua ikafunguka. Lakini jana usiku ndo ililuwa hvyo.
   
 11. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  kwani nilikuambia niliishiwa bandle? Niliwezaje kutumia JF na facebook wakati ule kama bandle liliisha?
   
 12. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  jana usiku ndo niliona hili,sio leo.
   
 13. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Sipo interior kama unavyofikiria,network ilikuwa poa tu na ndo maana niliweza kuaccess fb na jf kwa wakati ule. Nilichokisema ndo jinsi ilivyokuwa jana usiku wa saa 7.
   
 14. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  [h=2]Naona web ya HESLB iko Busy,kulikoni?[/h]Kilichoko huko ni hicho unachotaka kukiangalia wewe
   
Loading...