Naona tatizo lile lile la Kimsingi limeendelea kujirudia

Ni wapi mkuu anapendelea? Unaweza nambia?
Akija upande wenu akafanya miradi ya maendeleo nina haki kusema anawapendelea ninyi?
Ifike pahala watz tuwe na shukrani walau hata kwa mazuri kiongozi anayoyafanya! Hii tabia ya kulalama haitasaidia kitu zaidi unatengeneza chuki zisizo na msingi.
Jspmsl
 
Umeandika Vizuri, Ningekupa "Like" Lakini wewe GENTAMYCINE mara nyingi ni Mnafiki mkubwa.

Ungefanunua vizuri ili na Mimi niweze kupata muda mzuri kukujibu na pengine tuweze kuelewana na hata kuheshimiana zaidi kwani kwa Sisi Watu wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) kutuita ' Wanafiki ' ni ' tusi ' kubwa mno na ambalo halivumiliki. Naomba unifafanulie upesi tafadhali ili nami niweze kukujibu.
 
Mimi nakwenda kuhutubia , nikahutubie mawazo ya mtu mwingine? How come?
 
Mbona kma unajaa povu mkuu..?? Kwani mleta mada kamsema nani...??

Hahahahahahaha...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…