Naona raha...

Ninajisikia raha hadi nahisi nina uwezo kabisa wa kupaa, I wish I could be able to stop time kama Kaunga alivyo suggest.
noo baby gal, if you stop the time utashindwa kufikilia raha kubwa zaidi. Your tomorrow will be netter than this, keep believing and hold onto that attitude.
 
Last edited by a moderator:
Hongera...but what makes u so happy??
 
nimeacha Bhange
King'sti alitaka kunipoteza.

Za siku? Bibi hajambo?

Afu Tanga ulinichunia kwa nini?

Ahsante sana Kongosho,

Heri ya mwaka mpya na wewe pia.....

Bange zako umerudi nazo??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hongera mpendwa.... Weee furahi tuuu..!
 
Hope it'll last maana hizi zingine hata sekunde tano hazifiki.
Raha ya kujipa au kupewa lakini?
 
nimeacha Bhange
King'sti alitaka kunipoteza.

Za siku? Bibi hajambo?

Afu Tanga ulinichunia kwa nini?

Nimefurahi sana kusikia hivyo Kongosho,

Hiyo itakuwa bonge la achievements, kwani bange zilikuwa zinakupeleka pabaya kabisa....

Sie wazima ila tumekumiss sana pamoja na bange zako za mwaka jana...

Bibi mzima kabisa...halafu naomba nisiseme kitu zaidi...Namkaribisha Smile na shaidi yake Madame B wakupatie salamu za bibi yako!!!

Karibu tusogeze siku za huu mwaka tata....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
nafurahije sasa mtu akijisikia hivi!
HONGERA Neiwa
naelewa unavojisikia!
sometimes tusikie matamu jamani sio kila siku vilio vilio hasira visasi!
inatia moyo sana!
mimi penda yu mingi for this!
jipe raha mama!maana RAHA YA KWELI YATOKA NDANI YAKO!ni kujitafuta tu na kuikubali na maisha yanasonga mbele!
 
Last edited by a moderator:
noo baby gal, if you stop the time utashindwa kufikilia raha kubwa zaidi. Your tomorrow will be netter than this, keep believing and hold onto that attitude.

Lakini what is the reality?
Unasemaje kuhusu msemo huu: "Hoping for the best while preparing for the worst", do you always have a plan B au you live for the day and let tomorrow take care of itself!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…