Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,380
- 2,855
Jaman naombeni msaada wenu ya nini nifanye kwa ajili ya VLC Media Player yangu...kwani haitoi sauti..NimeSET hadi mwishoo ni kimya kimya tu...NimeUNINSTALL..Then nikaINSTALL upya but tatizo limebaki pale pale..Naomba mnisaidie niepukane kuangalia picha pasipo sauti...Natanguliza shukran kwenu...