TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,330
- 8,421
mchina mbona analiwa pia hadi ATM inabaki tupu...Chambo ni lazima, hiyo ipo kwenye kamari zote, hukumbuki ukizotumbukiza
mchina mbona analiwa pia hadi ATM inabaki tupu...Chambo ni lazima, hiyo ipo kwenye kamari zote, hukumbuki ukizotumbukiza
Wachina wanafurahia sana kasi ya ubugiaji, mnawapa pesa wanawapa uhanisi halafu mahanisi mkishajazana watakuja kuwauzia dawa za kichina mpaka unywe ndo isimame kwa tabu. Biashara nzuri.ngoja mchina aendelee kuwatengeneza
Una chuki nao binafsi nnJamaa zangu wajeda ndio wahanga wakubwa wa hizi mashine za kitapeli.
Serikali iko kimya.
Pato la taifa karibu 5% linakwenda China kupitia haya madudu.
Haya madudu yanapuna sana. Kila kona yamewekwa
Mchina haliwi. Unakula hela ya mwenzako aliyeliwa.mchina mbona analiwa pia hadi ATM inabaki tupu...
Masihara sana yaani laki 3 mara moja asubuhi hii wakati kuna watu Tena watumishi ni salary yake ya mweziMitaan wanaliita Dubu au Bonanza utahira wakupeleka hela yangu kwenye hilo dude bado haujanipanda kichwani na hautonipanda kamwe...Bora ninywe 🍻 beer niifikirie dunia kwa mapana
Yeye ndiye ameprogramme hizo mashine, anaweza kuprogramme ili aliwe?!, mkila ujue ameshakula vya kutosha, ukijua hilo wala huwezi ukacheza huo ujingamchina mbona analiwa pia hadi ATM inabaki tupu...
He hee a i swear iam not going to play this Bonanza again...kesho atarudi Tena ujinga mzigoKamari ina uraibu.
Kuna dada hua anakuja atapaki gari lake kisha atachill na hilo ishu hata masaa mawili.
Kisha kuna mjeshi hua akija anapiga stop woooote kucheza analicheza yeye tu akimaliza anaondoka zake.
Kuna jamaa young tu kupoteza 50K au 60K kwenye hiyo mashine kila baada ya siku mbili au nne ni kawaida. Na kila akiondoka anasema sichezi tena jana kaongea kiingereza 'I swear am not going to play this bonanza again'
Kuna mama ni muuza chakula kwenye toroli. Kila usiku lazima afike hapa na kuanza kulishughulikia hili dude, anasema hili ni bonanza lake la mwisho akiliwa huko koooote ndiyo anamalizia hapa.
Kuna couple hua mke anakuja hapa na mume anaenda bonanza la bondeni huko kila mmoja anaenda kulishughulikia hili ishu.
Katika kitu nimededuce ni kwamba watu wengi wanaocheza hili dude hua hawachezi ili wale ila wanaenjoy tu ile excitement ya kusubiria kuona kama wamepatia kitu ama la.
Eish nimemsahau na muha mmoja hua anakuja anaweka vyombo vyake chini anaingia arena.
Halafu guess what? Mimi ninayewapa hizo 200 hata sijui jinsi ya kulicheza.
Na atarudi tu huyoHe hee a i swear iam not going to play this Bonanza again...kesho atarudi Tena ujinga mzigo
Unafanya makosa kuuita ujingaYeye ndiye ameprogramme hizo mashine, anaweza kuprogramme ili aliwe?!, mkila ujue ameshakula vya kutosha, ukijua hilo wala huwezi ukacheza huo ujinga
Huu ndio huwaga mwisho wa habari.....Kamari ina uraibu.
Kuna dada hua anakuja atapaki gari lake kisha atachill na hilo ishu hata masaa mawili.
Kisha kuna mjeshi hua akija anapiga stop woooote kucheza analicheza yeye tu akimaliza anaondoka zake.
Kuna jamaa young tu kupoteza 50K au 60K kwenye hiyo mashine kila baada ya siku mbili au nne ni kawaida. Na kila akiondoka anasema sichezi tena jana kaongea kiingereza 'I swear am not going to play this bonanza again'
Kuna mama ni muuza chakula kwenye toroli. Kila usiku lazima afike hapa na kuanza kulishughulikia hili dude, anasema hili ni bonanza lake la mwisho akiliwa huko koooote ndiyo anamalizia hapa.
Kuna couple hua mke anakuja hapa na mume anaenda bonanza la bondeni huko kila mmoja anaenda kulishughulikia hili ishu.
Katika kitu nimededuce ni kwamba watu wengi wanaocheza hili dude hua hawachezi ili wale ila wanaenjoy tu ile excitement ya kusubiria kuona kama wamepatia kitu ama la.
Eish nimemsahau na muha mmoja hua anakuja anaweka vyombo vyake chini anaingia arena.
Halafu guess what? Mimi ninayewapa hizo 200 hata sijui jinsi ya kulicheza.
Ni ujinga kutegemea 1+0 iwe 2, ni kitu kisichowezekana...Unafanya makosa kuuita ujinga
Kuna watu wanaendesha maisha kupitia huo mchezo...
Au leo mchina amekula coins zako nyingi?
Sent using Jamii Forums mobile app