Naona kuna mtu hapa katumbukiza ‘coin’ za laki tatu kwenye kimashine cha mchina na kaliwa zote, haya ni matumizi sahihi ya ubongo?

Mpandisha mishahara

JF-Expert Member
Mar 1, 2014
1,346
2,000
Kamari ina uraibu.

Kuna dada hua anakuja atapaki gari lake kisha atachill na hilo ishu hata masaa mawili.

Kisha kuna mjeshi hua akija anapiga stop woooote kucheza analicheza yeye tu akimaliza anaondoka zake.

Kuna jamaa young tu kupoteza 50K au 60K kwenye hiyo mashine kila baada ya siku mbili au nne ni kawaida. Na kila akiondoka anasema sichezi tena jana kaongea kiingereza 'I swear am not going to play this bonanza again'

Kuna mama ni muuza chakula kwenye toroli. Kila usiku lazima afike hapa na kuanza kulishughulikia hili dude, anasema hili ni bonanza lake la mwisho akiliwa huko koooote ndiyo anamalizia hapa.

Kuna couple hua mke anakuja hapa na mume anaenda bonanza la bondeni huko kila mmoja anaenda kulishughulikia hili ishu.

Katika kitu nimededuce ni kwamba watu wengi wanaocheza hili dude hua hawachezi ili wale ila wanaenjoy tu ile excitement ya kusubiria kuona kama wamepatia kitu ama la.

Eish nimemsahau na muha mmoja hua anakuja anaweka vyombo vyake chini anaingia arena.

Halafu guess what? Mimi ninayewapa hizo 200 hata sijui jinsi ya kulicheza.
Kuna haja ya kufungwa mfumo wa risiti hayo mavitu, na Kodi ikusanywe kwa mfumo wa EFD receipt.
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,372

Ni Arosto ya Kamari inawasumbua, huwezi sema ni excitement, wako hooked!
 
JABALI LA KARNE

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
1,550
2,000
Kama ni addiction basi Serikali iongeze kodi ya kutosha.
Ukiweka 200, 180 iwe kodi 20 iende kwenye kamari.
Ukiweka 200 ukashinda mara mbili unapata 40. Nayo ikatwe kodi ya faida asilimia 30%.
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,372
2,000
Kuna haja ya kufungwa mfumo wa risiti hayo mavitu, na Kodi ikusanywe kwa mfumo wa EFD receipt.
Wazo la sukari sana hili, ikiingia coin kuwe na electronic counter, pesa ikitoka pia ipunguzwe kwenye balance electonically, ikifika saa sita usiku inafunga hesabu ya siku na kujua dude limeingiza kiasi gani, na kodi inakatwa automatically kwenye system.
 
kelphin kepph

JF-Expert Member
Dec 24, 2019
4,185
2,000
Kamari ina uraibu.

Kuna dada hua anakuja atapaki gari lake kisha atachill na hilo ishu hata masaa mawili.

Kisha kuna mjeshi hua akija anapiga stop woooote kucheza analicheza yeye tu akimaliza anaondoka zake.

Kuna jamaa young tu kupoteza 50K au 60K kwenye hiyo mashine kila baada ya siku mbili au nne ni kawaida. Na kila akiondoka anasema sichezi tena jana kaongea kiingereza 'I swear am not going to play this bonanza again'

Kuna mama ni muuza chakula kwenye toroli. Kila usiku lazima afike hapa na kuanza kulishughulikia hili dude, anasema hili ni bonanza lake la mwisho akiliwa huko koooote ndiyo anamalizia hapa.

Kuna couple hua mke anakuja hapa na mume anaenda bonanza la bondeni huko kila mmoja anaenda kulishughulikia hili ishu.

Katika kitu nimededuce ni kwamba watu wengi wanaocheza hili dude hua hawachezi ili wale ila wanaenjoy tu ile excitement ya kusubiria kuona kama wamepatia kitu ama la.

Eish nimemsahau na muha mmoja hua anakuja anaweka vyombo vyake chini anaingia arena.

Halafu guess what? Mimi ninayewapa hizo 200 hata sijui jinsi ya kulicheza.

cheers boss
 
AggerFirminho

JF-Expert Member
Sep 17, 2019
1,150
2,000
Mbona unamuingilia mwana kwenye maisha yake. Pia umepiga picha Bil ruhusa yake. Hilo ni Kosa.
Plus maisha Haya kila mtu Ana jinsi alivyoamua kuishi. Kuna mwingine anaridhika kutafuta msosi tu wa kila siku basi. Kuna mwingine lazima apate kiwanja ajenge.... Etc
Kuna mwingine akipata mshara wa 150000 tu mwezi huo huo anaoa.
Kuna mwingine anavyote lakini hataki kuoa.
Mwingine mitungi ndo raha yake.
Mwingine malaya.... Ndo alichochagua na maisha yake.
Mwingine padri lakini Ana watoto nje.
So ISHI MAISHA YAKO. MTAKUTANA KWA MUUMBA huko ndio mtashitakiana ikitokea mkakutana Nyumba moja na huyo uliyempiga PICHA
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,372
2,000
Kama ni addiction basi Serikali iongeze kodi ya kutosha.
Ukiweka 200, 180 iwe kodi 20 iende kwenye kamari.
Ukiweka 200 ukashinda mara mbili unapata 40. Nayo ikatwe kodi ya faida asilimia 30%.
Pengine itasaidia, maana hawa waChina wanachota mabilioni kila siku bure bure tu!
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,372
2,000
Mbona unamuingilia mwana kwenye maisha yake. Pia umepiga picha Bil ruhusa yake. Hilo ni Kosa.
Plus maisha Haya kila mtu Ana jinsi alivyoamua kuishi. Kuna mwingine anaridhika kutafuta msosi tu wa kila siku basi. Kuna mwingine lazima apate kiwanja ajenge.... Etc
Kuna mwingine akipata mshara wa 150000 tu mwezi huo huo anaoa.
Kuna mwingine anavyote lakini hataki kuoa.
Mwingine mitungi ndo raha yake.
Mwingine malaya.... Ndo alichochagua na maisha yake.
Mwingine padri lakini Ana watoto nje.
So ISHI MAISHA YAKO. MTAKUTANA KWA MUUMBA huko ndio mtashitakiana ikitokea mkakutana Nyumba moja na huyo uliyempiga PICHA
Hiyo picha imepostiwa na mchangiaji, sio picha ya tukio.
 
TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
3,973
2,000
mchina alinipa pesa hadi akili ikanikaa sawa
hqdefault.jpg
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,372
2,000
Mbona unamuingilia mwana kwenye maisha yake. Pia umepiga picha Bil ruhusa yake. Hilo ni Kosa.
Plus maisha Haya kila mtu Ana jinsi alivyoamua kuishi. Kuna mwingine anaridhika kutafuta msosi tu wa kila siku basi. Kuna mwingine lazima apate kiwanja ajenge.... Etc
Kuna mwingine akipata mshara wa 150000 tu mwezi huo huo anaoa.
Kuna mwingine anavyote lakini hataki kuoa.
Mwingine mitungi ndo raha yake.
Mwingine malaya.... Ndo alichochagua na maisha yake.
Mwingine padri lakini Ana watoto nje.
So ISHI MAISHA YAKO. MTAKUTANA KWA MUUMBA huko ndio mtashitakiana ikitokea mkakutana Nyumba moja na huyo uliyempiga PICHA
Lazima tunyooshane, wewe leo tukikuta unafokolewa mtaro tukuache tu kisa ndio umechagua hivyo? Tusikuseme?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom