Haha mkuu complication za nin maisha yashabana hayaMkuu upo vizur kama mm tunafanana
Yetu macho kodoooooooHahhahahah
Mkuu ngoja nimpe mtongozo wa hapahapa na wanajukwaa waone, akinikataa mshuhudiee, akikubali mshuhudiee...
culture gal wadau wanapenda mimi na wewe tudumu na hata milele,
Sijui ww unaonaje??
Ulikuwa haujajiandaa kukaa na mwanamke. Huwez kukaa na mtoto wa mtu halafu unamlisha chakula cha mama niitilie. That's against wisdomKipindi naanza harakati za maisha nikiwa na wife wangu.
Nlkua naona ni nafuu sana kununua mgahawani chakula cha watu wawili kuliko kumpa ela wife akapike nyumbani.
Maana alkua anacomplicate vikorokoro kibao kwenye msosi mpaka bajeti unajikuta ishakua Mara mbili ya gharama za kula mgahawani.
Kiukweli, ILKUA INANIKERA SANA
MAANA
Ilkua inanivurugia bajeti yangu ya matumiz ya siku,
Ukzingatia Kichwani nlkua nna Malengo makali sana Ya kukua kibiashara.
Ilkua inafika sometimes,
MPAKA NAMUWASHA MAKOFI,
Yaani Nampa ela akaandae msosi tule, yeye Anazila kisa eti ela haitoshi.
HahahNajua mkuu...unajua wanaume ni tofauti na wanawake. Mwanamke anaelewa labda ndani..vitu hivi vinakaribia kuisha....nini kinahitajika hasa kwenye maswala ya maakuli...lakini kwa mimi sometime na gues viungo vingine vitakua ndani...ko sinunui..kumbe vishaisha..ndo balaa linaanzia hapo
Hahah basi ndio lazma upike kwa 6000Hahahaa
Hizo mambo za dagaa sitaki sikia
Ilkua ni kipindi cha Utafutaji mkuu.Ulikuwa haujajiandaa kukaa na mwanamke. Huwez kukaa na mtoto wa mtu halafu unamlisha chakula cha mama niitilie. That's against wisdom
Ilkua ni kipindi cha Utafutaji mkuu.
MAISHA yetu yalikua magumu sana Kiukweli.
Nlkua na Malengo makali sana kukua kibiashara.
Na principle kubwa Iliyokua ina-run ndani ya Kichwa changu Muda wote,
Ilkua
"Punguza Garama za Matumizi yawe chini zaidi Kadri iwezekanavyo, Uweze kukuza Mtaji Wako"
Na Ndipo Ugomvi na wife zaidi ulipokua,
Anakwambia
"ili tupunguze Matumizi inabidi ununue kila kitu uweke ndani"
Sawa, Nanunua Mchele kg50,unga kg25, maharage kg 10, mkaa gunia.
Ila still,
Ikifika jion anaomba Kiasi kile kile cha ela ya chakula alichokua akichukua kipindi hamjanunua vitu vya Jumla ndani.
UNAKAA UNAONA NI UPUUZI, HAMNA ULOCHOSEVU.
NI BORA TU TULE WOTE TUENDELEE KULA MGAHAWANI TU.
Kweli mkuu..maana tunaokula mgahawani quality ya chakula iko bomba kuliko kupika mwenyw homeHapa kitu ambacho hatuelewan n kimmoja tofauti ya kula mgahawani na kwa mamantilie
Nakukatalia mkuu,Watu wawili mkila mgahawani kuanzia asubuhi
Si nafuu kujipikia ndani
Nakukatalia mkuu,
Maybe inategemea na Mwanamke uliekua nae.
Ila kwangu ilkua tofauti sana miaka hiyo kabla hatujawa na familia kubwa.
Mfano:
Tulikua tuliishi wawili TU, Mimi na wife.
Tulikua na biashara ya vyombo vya ndani, Electronics ndogo ndogo (used&mtumba) , phone accesories, vipodozi , Saa na vikorokocho vingine vingi TU.
Hatukua na fremu wala nini,
Mzigo wa biashara ilkua juu ya meza ya mbao zile zinazowekwa barabarani maeneo ya K'koo opposite INA ilipo sahv jengo la CHINA PLAZA ile njia ya kwenda buguruni.
Ikifika jioni,Mzigo tulikua tunapakia kwenye tololi LA mbao na kufunika mpaka asubuhi
Mda wote nlkua nakomaa pamoja na wife.
Mchana tunakula mgahawani chakula cha 1500 kila mtu,Jumla 3000 MCHANA UNAPITA
Ikifika SAA 10 mchana wife anaenda home kuandaa cha jion.
Cha ajabu,
Ukimpa ile ile elfu 3 , anadai haitoshi.
Wakati mchana huo huo,
Imetosha kabisa Wali Nyama+ndizi mbivu tumekula na kushiba kabisa.
AISEE,
UGOMVI WA BAJETI YA CHAKULA ULKUA NI KILA MARA