Naona kama Tanzania hatukua tayari kwa siasa za vyama vingi

nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,736
6,972
Au nyie wenzangu mnaonaje.
Maana nimejikuta nachukia huu mfumo usio na usawa kiasi kwamba naona kama tunapoteza hela za walipa kodi ambao hata robo ya idadi yetu hawafiki.
Badala ya kuzitumia kwenye siasa, ni bora zingeenda kujenga madarasa, hospital, barabara, miradi ya maji na mengine mengi ambayo bado yanahitajika.

Ni hayo tu
 
Dogo rudi shule kasome huna unachokijua
 
Au nyie wenzangu mnaonaje.
Maana nimejikuta nachukia huu mfumo usio na usawa kiasi kwamba naona kama tunapoteza hela za walipa kodi ambao hata robo ya idadi yetu hawafiki.
Badala ya kuzitumia kwenye siasa, ni bora zingeenda kujenga madarasa, hospital, barabara, miradi ya maji na mengine mengi ambayo bado yanahitajika.

Ni hayo tu
Siyo Tanzania, sema Ccm ndo hawakuwa tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom