Naona kama ananijaribu...

Yaan sijui watu wakoje aaaaah, muhusika kaweka wazi kuwa yeye yupo kweny mahusiano na mtu mwngne na anatambulika kwao, sasa wee kukupima inakujaje? Lol
 
mpotezeee na kama alikuelewa ataanza kukuanbia mbona siku hizi kimya..hapo kwenye akili yake anataka uongeze bidii aone kama unampenda sasa we potezea maana hizo trick ni zamani sana
 
Kwahyo kama mtu ana mtu wake akaja kuonana na ww kwa stori ni dhambi?!
wewe mtu sio rafiki yako sio kaka yako akuite hivi hivi akununulie na msosi we unaona sawa yaani wanawake nyie bana huwaga akiki zenu huwa zinakuwaje...yaani mwanamke nimkuja kugundua kuanzia miaka 40 kurudi chini mostly akili wanakua nazo za kitoto
 
Hapo sasa.wanawake cjui wanatuona je aise
 
wewe mtu sio rafiki yako sio kaka yako akuite hivi hivi akununulie na msosi we unaona sawa yaani wanawake nyie bana huwaga akiki zenu huwa zinakuwaje...yaani mwanamke nimkuja kugundua kuanzia miaka 40 kurudi chini mostly akili wanakua nazo za kitoto
Mbona wengi wanafanya hivyo for friendly reasons
Wabongo mnakwama wapi
Mbona mnaprioritize chini sana
 
Vijana tunatia aibu aisee. Yani mkuu utongoze wewe sisi tukupe majibu? Pambana kama una nia utajua jibu sahihi. Huyo mwanamke kakuheshimu mno tena umpongeze aliitikia wito na mkajadili na kula pamoja wengine hata simu asingepoke na meseji zingekuwa zile za neno moja moja. Kama huwezi kumpindua aliye kwenye himaya vunga na chapa mwendo kwingine.
 
Acha uboya wewe,huyo block namba yake kisha malizia kwa delete. Warembo walivyojaa hivi yanini kubembeleza.
 
Ni demu wangu huyo mzee baba na kwao nilishagakwenda halafu kaja kuniambia hiyo issue kumbe ni wewe ?

Ebu achana nae kabisa jamaa.
 
Wewe nakujuwa ulivoniafanyia hadi leo siamini kabisa
 
Yaan sijui watu wakoje aaaaah, muhusika kaweka wazi kuwa yeye yupo kweny mahusiano na mtu mwngne na anatambulika kwao, sasa wee kukupima inakujaje? Lol
Anataka kulazimisha Donad trap aje awe raisi wa uganda na mseveni aende USA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…