Starwars91
Member
- Jul 12, 2020
- 52
- 47
Tunu, Unajua kuchagua avatar.Kwahyo kama mtu ana mtu wake akaja kuonana na ww kwa stori ni dhambi?!
[emoji38]nilijua utaniambia niitoeTunu, Unajua kuchagua avatar.
πHii nimeipenda. Nilikuwa natafuta nafasi niisifu.[emoji38]nilijua utaniambia niitoe
[emoji38]umetisha kama yanga[emoji3]Hii nimeipenda. Nilikuwa natafuta nafasi niisifu.
TEKELI: umepimwa katika mizani na kuonekana umepungukiwa.
[emoji124][emoji124]
πYanga yenu.[emoji38]umetisha kama yanga
Me naamini mwanamke wakati unamwingia tu tayari anakuwa kashajua nia yako. So, na wao huwa wanaanza kukupima kama ambavyo sisi uanza kuwapima. Ukifiti wala hutakuwa na haja ya kumtongoza atajaa mwenyewe.Bila shaka sababu ni hii.
Na Brother usihofu, ni mizani yake tu, ila ukijaribu kwa mizani ya mwanamke mwingine utafiti.
So achana nae , usiwaze wala hizo sababu.
Be you, na anayekustahili atakaa na ww.
Mkuu kanishangaza sana. Kwa sababu yan mpaka kanifata mwenyewe lakin mwishoni eti kabadili gear angani.Me naamini mwanamke wakati unamwingia tu tayari anakuwa kashajua nia yako. So, na wao huwa wanaanza kukupima kama ambavyo sisi uanza kuwapima. Ukifiti wala hutakuwa na haja ya kumtongoza atajaa mwenyewe.
Natamani nijaribu tena mkuu kwa Mara ya pili nione kama ataweza kuja tenaAlikua anataka umle bila kumtongoza...ila ukajitia Ujentomani
Mwanangu tuchati[emoji38][emoji38][emoji3]Yanga yenu.
Unanikosea heshima kunifananisha nayo sasa.
Cjui nilicheza wap foul? Kwa kweli sijui nilicheza wap?Inawezekana kweli ana mtu wake ama hajavutiwa na wewe baada ya kukaa na wewe masaa kadhaa kimaongezi,muonekano wako na mazaga zaga kama hayo
Kama unaweza jitafakari ulikosea wapi mlivyokutana halafu umtafute tena labda atakukubali ama kubaliana na maneno yake kwamba ana mtu wake
Hata hivyo kutoa namba,kukutana na mtu sio kigezo cha mtu kukutaka kimapenzi
Mimi naweza kufanya hayo yote na nikakukataa kiroho safi
Sipendi kuniita hivyo.πMwanangu tuchati[emoji38][emoji38]
ππ Kenny bwanaKwenye Mchezo Wa Karata Kuna Hii Mnaita β§