Naona Hutaki kula

Naona Hutaki kula

suri

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
404
Reaction score
260
Habar wana JF, sikieni hii
Jamaa mmoja alikuwa na demu wake mpya ila siku hiyo alikuwa amemuacha nyumbani. Walipowasiliana kwa simu, mazungumzo yao yalikuwa hivi;


Binti: Hello mpenzi, mambo?
Jamaa😛oa bby
Binti: Uko wapi sahizi?
Jamaa: Nipo twn napata lunch
Binti: Wow.. unarudi saa ngapi? Nina njaa dia nataka uniletee chakula
Jamaa: Narudi baada ya nusu saa, nikuletee chakula gani?
binti: Chipsi kuku,soseji, mayai manne yakaangwe, pizza ya samaki iwekwe mayonaizi, coke ya baridi take away, Mkate wa mtoto kwenye ile bekeri ya wapemba na maji ya kunywa chupa kubwa ya kilimanjaro.
Jamaa:Umesahau viti, meza , beseni, masufuria sahani na vijiko
Binti: Kwanini dia?
Jamaa: Naona hutaki kula unataka kufungua hoteli
 
hahahaaaa!! baada ya hapo najua voda walikata mawasiliano kunusuru penzi lao..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom