Naona huruma kumpiga chini, nifanyeje?

Naona huruma kumpiga chini, nifanyeje?

ooh! nilikua high kidogo. Ndugu yangu panapo tokea migogoro ndani ya nyumba tunapaswa kua makini sana, tusiwe wepesi wa kuchukua maamuzi kama haya, ambayo badae yana weza kuku gharimu wewe au huyo wa nje pia hata mkeo.. Chukua uamuzi sahihi kuanzia sasa. Achana na huyo binti, fanya maisha na mamaa na hilo nahisi litakua fundisho kwako na kwake.
note: usiwe unachukua maamuzi kipindi unahasira

Now u er talking, ile ya kumpiga juu sikuielewa kabsaaaaaa!
 
ooh! nilikua high kidogo. Ndugu yangu panapo tokea migogoro ndani ya nyumba tunapaswa kua makini sana, tusiwe wepesi wa kuchukua maamuzi kama haya, ambayo badae yana weza kuku gharimu wewe au huyo wa nje pia hata mkeo.. Chukua uamuzi sahihi kuanzia sasa. Achana na huyo binti, fanya maisha na mamaa na hilo nahisi litakua fundisho kwako na kwake.
note: usiwe unachukua maamuzi kipindi unahasira

Pamoja sana mkuu!
 
unaona huruma kumpiga chini, mpige katikati au juu, chezea manzi wa kichaga weye!!!!! atakuRIP soon .
 
unaona huruma kumpiga chini, mpige katikati au juu, chezea manzi wa kichaga weye!!!!! atakuRIP soon .

Love ni kitu cha ajabu sana! Yaani kama ile yote anayofanya ni zuga, basi love is the most complex thing. Nimejaribu kumpima kwa mengi nikawa nafikiri amependa kafikia mwisho. Sasa kama anaigiza basi madem wa kichaga ni balaa.
 
Dont judge the book by looking at its cover.Ila its seems unaendekeza sana nyumba ndogo weye.Mungu akusaidie maana hatutashangaa kukuona kwenye udaku!!! best of luck
 
wakati anakuambia amechoka kuishi na wewe amini usiamini alikuwa tayari anategemea mtuflani kuishi nae! Ungechunguza ungejua' cku nyingine dem akikuambi hayo makitu mwambie na mi naanza kujipanga ili yeye akibadilika asishangae mipango yako wala asiulize, si ulishamwambia?
 
Hako kanyumba ndogo kweli kanajua kutafuta fedha, siumaona kamafanikiwa hadi kujengewa nyumba endelea nako ukanunulie na gari na kukafungulia duka ila ka ukijua ukiishiwa tu na mapenzi yatakuwa yameisha
 
y uipige chini nyumba ndogo? we endelea nae ila ndio mwambie kuwa wife ataendelea kuwa wife na yeye atakuwa wa starehe tuu.
 
ndoa yenu ilifungwa kwenye misingi ya dini gan?kma ni misingi ya kikristo nakushauri uwe mwaminifu kwenye ndoa yako mpaka kufa..
 
Hapo kati mamsapu aliniletea sana za kuleta na siku moja akanitamkia wazi kuwa amechoka kuishi na mimi (baadae aliomba msamaha akasema alipandwa na hasira). Kipindi tulichochuniana nikakutana na kadem fulani na nikawa nimeamua mamsap akisepa tu, navuta jumla hako kadada.(ni kadada kwa sababu kiumri nakazidi sana halafu ni kipotabo). Sasa wife hakusepa wala nini na mimi nikawa nimekolea nje mpaka nimepangishia chumba na gheto nimelikamilisha. Wife alikuja futa kauli zake za kuondoka hazingui tena na kawa mpole na mwenye heshima mpaka naona aibu kuendelea na nyumba ndogo. Wife Sitaki kumwacha na nyumba ndogo naona huruma kummwaga kwa sababu yaani kakolea kishenzi. Sidhani kama atamwamini mwanaume mwingine Mimi nikimtosa. Naogopa kumwambia wife nataka oa mke wa pili kwa sababu atasepa, japo ningewamudu na napenda wake wawili. Kitu kingine mamsap hapendi kujishughulisha na utafutaji hela wakati hii nyumba ndogo inajituma kwenye utafutaji kishenzi (mchaga), mara kadhaa ashanikwamua kwenye vishida vya lakilaki hizi. Sasa nipo kwenye dilemma!!!

usijidanganye kumuacha, kama unamuamini basi endelea nae, ukimuacha halafu wife akaja kuzingua tena utajuta!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom