Naona donge kamnunulia mumewe shati

Naona donge kamnunulia mumewe shati

Hahahaaa suprise hizo nimekoma niliwahi kumnunulia wallet alivyoinanga sasa...nikakoma......huwa namfanyia za msosi tuu coz anakula kila kitu hachagui...
Ila nimejifunza kitu kuwa mwanamke na mwanaume ni viumbe tofauti sana, we unachokiona kizuri mwenzio anakiona cha kigoroko.... Kama una marafiki wanaume jaribu kuwaomba ushauri unapotaka kununua kitu....manake wao wanajua kipi kipo kwenye trend...

Hahaha!
Siku moja nilimnunulia sendo na mkanda!
Hadi alisema hujachagua wewe!
Na ni kweli mkaka wa ofcn alinisaidia:kuchagua! Ikabid nikubali kuwa kweli mtu alipitsha hao wakaka walikuwa wananunua na wao ndo wakanishaur kuwa ni vizuri!

Kesi ikaja! Mazoea na wanaume sitaki!

Cha ajabu ndo mkanda wake mkuu!
 
Mtumie meseji mkeo umwambie tabia yako ya kutokuninunulia hata big-g huipendi na unaona wivu
 
Wa siku hizi watakuletea zawadi za mchepuko, hujasoma kuna mmoja anammiss mchepuko wake kisa alinunuliwa zawadi mpaka za wife wake? Anipe pesa au twende wote kununua hizo zawadi.
Na wewe unapelekaga zawadi au ndo unatoa pesa tuu? Kumbuka pesa ni tofauti na zawadi....Siku hizi ni nipe nikupe.
 
Jema dogo laweza kuacha alama isiyofutika moyoni.
Gifts are languages of human emotions.
 
Mm wife alininunuliaga t shirt japo lilikuwa baya na boxa mbili nilikuwa nikivaa nasikia farajaa sana
 
Teh teh teh naye hatoi zawadi eti?

Aah wewe umenisahau me team "some little things matter the most". Tatizo sasa mume wangu Paulo taste ya Vitu vyake mmmh nilikoma mwanzoni, ila sasa hivi nimeshamjulia
 
Hahaha!
Siku moja nilimnunulia sendo na mkanda!
Hadi alisema hujachagua wewe!
Na ni kweli mkaka wa ofcn alinisaidia:kuchagua! Ikabid nikubali kuwa kweli mtu alipitsha hao wakaka walikuwa wananunua na wao ndo wakanishaur kuwa ni vizuri!

Kesi ikaja! Mazoea na wanaume sitaki!

Cha ajabu ndo mkanda wake mkuu!

Duh.Anakula kila kitu.Hadi kinyesi.
 
Hahaha!
Siku moja nilimnunulia sendo na mkanda!
Hadi alisema hujachagua wewe!
Na ni kweli mkaka wa ofcn alinisaidia:kuchagua! Ikabid nikubali kuwa kweli mtu alipitsha hao wakaka walikuwa wananunua na wao ndo wakanishaur kuwa ni vizuri!

Kesi ikaja! Mazoea na wanaume sitaki!

Cha ajabu ndo mkanda wake mkuu!

Ipo siku atakutandika nao huo Mkanda..
teh..teh..teh..
(jokes)
 
Mtumie meseji mkeo umwambie tabia yako ya kutokuninunulia hata big-g huipendi na unaona wivu

Nimempigia Simu Wife,nkamwambia Naona Wivu Wanaume Wenzangu Wananunuliwa Mashati Hapa.Nkamwambia Usipojirekebisha Me Ntakuacha Mana Hujui Kupenda
 
Ipo siku atakutandika nao huo Mkanda..
teh..teh..teh..
(jokes)

Sijui kama amewah hata kufikiria kunipiga! Hajawahi na I hope haitokaa itokee!

Uzuri namjulia so hata awe na hasira vipi nusu saa kubwa utamkuta anacheka! !

Na mtu mwenyewe kanikuta! Sijawahi hata mnunia hata afanye kituko gani!
 
Dah Anabahati,wangu Ananuna Sa Ingine Kama Kanywa Viroba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom