Naona donge kamnunulia mumewe shati

Naona donge kamnunulia mumewe shati

Hahahaaaa.... njoo kwanguu hizo show naziwezaa mbayaa ila hakikisha nawe sio mbahili wa kunipaa pesa tena bila kukuomba na siku nikikuomba kama 100,000 kunogesha unanipa 150,000 au 200,000 sio ukiombwa unatoa hiyohiyoo...

Makubwa
 
Duniani kuna mambo. Kuna kipindi nilimnunulia mme wangu socks nzuri sana. Ila zikawa zinashika sana kwa juu akishavaa. Baada kama ya siku mbili akanimbia kuwa misocks yako inanibana na kuniachia alama. Je mtu wa namna hii unaweza kumnunulia tena zawadi hata kama ni lesso?

Labda lugha aliyotumia ni kali kidogo, ila na wewe siku ingine kuwa makini usinunue nguo au socks zinabana ukategemea mtu aridhike na kubanwa.
 
Staff mate wangu ambae ni ke leo kamnunulia mume wake shati jipya la elfu kumi.Nimeumia na kuona wivu kwani mimi tangu nianze mapenzi sijawahi kununuliwa hata bublish.

Haimaanishi kwamba napenda zawadi ama vya bure.Mwanamke anapokupa kitu ni dalili ya kukuthamini.Wenzetu ke wengi wanapenda wapokee tu na hawana moyo wa kutoa.

Wanajua kupenda sana na wanavaa kiheshima na adabu hiyo inawafanya wapende kweli.Dah Naona donge mana ni wanawake wachache sana wa kiivo.

Ngoja siku utayokuta kakununulia kata K ndo utajua kama ana kupenda au lah...
 
kwa hiyo hujajifunza bado kuwa unatakiwa nawe ukamnunulie kitu unangaa ngaa macho tu au
 
Basi kuna watu wanabahat ila hawazitumii! ! Hakuna kitu nasikia raha kama kumnunulia japo vest tu!

Ila mnunuliwaji sasa anamashauzi huyo! !! Lakn ndo sikomi! Nimo tu!

Ukimletea ataichambua weeeeee!
Na ikitokea anataka kumpa mtu basi hizo ndo Huwa za kwanza! Ukimuuliza mkali huyo!

Sasa mleta mada kama nawewe ni wa dizain hizo ndo maana hawakununulii wanajua utawashushua nazo! Inatakiwa umpate mtu mwenye kipaji hicho (kutoa ni kipaji )
 
Labda lugha aliyotumia ni kali kidogo, ila na wewe siku ingine kuwa makini usinunue nguo au socks zinabana ukategemea mtu aridhike na kubanwa.

Wanaume wengi hamtumiagi lugha nzuri kabisaaaa, kama hujakipenda kitu muelekeze mtu vizuri tu atakuelewa, sasa sisi tunavaaga sox wapi hadi tujue hii inabana au haibani?
 
Wanaume wengi hamtumiagi lugha nzuri kabisaaaa, kama hujakipenda kitu muelekeze mtu vizuri tu atakuelewa, sasa sisi tunavaaga sox wapi hadi tujue hii inabana au haibani?

Poleni.
 
Basi kuna watu wanabahat ila hawazitumii! ! Hakuna kitu nasikia raha kama kumnunulia japo vest tu!

Ila mnunuliwaji sasa anamashauzi huyo! !! Lakn ndo sikomi! Nimo tu!

Ukimletea ataichambua weeeeee!
Na ikitokea anataka kumpa mtu basi hizo ndo Huwa za kwanza! Ukimuuliza mkali huyo!

Sasa mleta mada kama nawewe ni wa dizain hizo ndo maana hawakununulii wanajua utawashushua nazo! Inatakiwa umpate mtu mwenye kipaji hicho (kutoa ni kipaji )

Nimeikomesha hiyo tabia kwa kwenda nae dukani....siku tukienda sokoni namsuprise nampeleka duka la nguo namwambia achague nitamlipia....ila inataka roho ngumu kiasi utaambiw shati elfu 40...ila ndo mahaba tena.
 
Yaan yataka moyo mama!
Sasa si unajua zile za suprise! May be katoka safar unamuandalia anakuta ni kitu hajawah kukiona! Nyodo zake sasa! Loh!

Anyway mahaba Niue! Tunaenda hivo hivo!
 
nishasahau kununua boxer na sox,show yote ya boxer zangu na sox huwa inasimamiwa na "mayi waifu wangu".

Kwa uandishi huu angalia usije ukasimamiwa show nyinginezo tu kwa huyo "maiwife" wako
 
Yaan yataka moyo mama!
Sasa si unajua zile za suprise! May be katoka safar unamuandalia anakuta ni kitu hajawah kukiona! Nyodo zake sasa! Loh!

Anyway mahaba Niue! Tunaenda hivo hivo!

Hahahaaa suprise hizo nimekoma niliwahi kumnunulia wallet alivyoinanga sasa...nikakoma......huwa namfanyia za msosi tuu coz anakula kila kitu hachagui...
Ila nimejifunza kitu kuwa mwanamke na mwanaume ni viumbe tofauti sana, we unachokiona kizuri mwenzio anakiona cha kigoroko.... Kama una marafiki wanaume jaribu kuwaomba ushauri unapotaka kununua kitu....manake wao wanajua kipi kipo kwenye trend...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom