Naona donge kamnunulia mumewe shati

Naona donge kamnunulia mumewe shati

Huwez jua labda kuna zawadi kubwa anakuandalia. Endelea kusubiri
 
Zawadi Nzuri Mimba Tu,zawadi Ya Kudumu
 
Mimi anipe tu zawadi ya Mbunye na Kiuno kilaini, hayo mazawadi mengine acha nimpe mimi..!!!
 
Staff mate wangu ambae ni ke leo kamnunulia mume wake shati jipya la elfu kumi.Nimeumia na kuona wivu kwani mimi tangu nianze mapenzi sijawahi kununuliwa hata bublish.

Haimaanishi kwamba napenda zawadi ama vya bure.Mwanamke anapokupa kitu ni dalili ya kukuthamini.Wenzetu ke wengi wanapenda wapokee tu na hawana moyo wa kutoa.

Wanajua kupenda sana na wanavaa kiheshima na adabu hiyo inawafanya wapende kweli.Dah Naona donge mana ni wanawake wachache sana wa kiivo.

Uwe unampa mkeo pesa nyingi ili zitoshe matumizi pamoja na Zawadi zako
 
Kumnunulia mume vitu sio lazima iwe shati ama suruali. Kuna vitu vidogo muhimu sana kama underwear including vests, handkachiefs, socks. Unaweza kununua pia wallet na uturi. Shati ni rahisi lakini sarawili ama suti ni mtihani, same for viatu.

Well, mie huwa sioni kama ni zawadi, naona kama ni sehemu ya wajibu tu. labda kwa vile nae anawajibika sana na matunzo. Mwanaume hajitambulishi, kuna mambo ambayo hasubiri kuombwa ili afanye. Kutokuwajibika ni kama kilema flani hivi
Cc Paw...
 
Kaz ipo kwa wabongo

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Staff mate wangu ambae ni ke leo kamnunulia mume wake shati jipya la elfu kumi.Nimeumia na kuona wivu kwani mimi tangu nianze mapenzi sijawahi kununuliwa hata bublish.

Haimaanishi kwamba napenda zawadi ama vya bure.Mwanamke anapokupa kitu ni dalili ya kukuthamini.Wenzetu ke wengi wanapenda wapokee tu na hawana moyo wa kutoa.

Wanajua kupenda sana na wanavaa kiheshima na adabu hiyo inawafanya wapende kweli.Dah Naona donge mana ni wanawake wachache sana wa kiivo.
Siku ya kwanza mwanamke kuhudumia nyumba unajuwa kilichotokea, walifukuzwa bustanini ....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom