BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,182
- 11,782
Staff mate wangu ambae ni ke leo kamnunulia mume wake shati jipya la elfu kumi.Nimeumia na kuona wivu kwani mimi tangu nianze mapenzi sijawahi kununuliwa hata bublish.
Haimaanishi kwamba napenda zawadi ama vya bure.Mwanamke anapokupa kitu ni dalili ya kukuthamini.Wenzetu ke wengi wanapenda wapokee tu na hawana moyo wa kutoa.
Wanajua kupenda sana na wanavaa kiheshima na adabu hiyo inawafanya wapende kweli.Dah Naona donge mana ni wanawake wachache sana wa kiivo.