Naona CCM sasa wamechanganyikiwa

Naona CCM sasa wamechanganyikiwa

Nchi haiwezi ongozwa na watuwazima Wa kitoto kiasi hiki! UKAWA ndo suluhisho tu ,utoto umezd
 
Watu nchi zinazo fikiria mbali wanapiga push up za akili sio za mwili.. Ndo maana taifa limezorota hata chandarua mnakuja kuomba marekani..pumbavu sana

Kaka sijui Tanzania imelogwa na Nani? Ni Aibu Aibu. Kanchi kadogo kama Rwanda kalicho Anza kujenga Uchumi wake 1996 kameshatupita!

Sisi tumebaki kukimbiza Mwenge. Madini ya kila Aina. Wanyama wa kila Aina. Mlima mrefu kuliko yote uko Tanzania. Gess Mafuta yapo. Makaa ya Mawe. Shaba ipo. Urani ipo Tanzania. Bandari zipo Tanzania.

Tumelogwa na Nani? Mpaka Rais Wa Rwanda Anatutukana! Haki ya Mungu ccm Mwaka Huu Hatuwaachi Muendelee Kutawala, Tukutane oct 25.
 
Hivi wanafikili matatizo yawatanzania yatatatuliwa kwahizo pushup zao?

Kweli hikichama hakina tena watu wakuumiza vichwa kwaajili yawananchi.

Hivi uende ukweni kuposa mke uanze kuipiga pushup mbele yawakwe nawageni wao waliowaalika kwaheshima yako unatarajia nini zaidi wakwe kumwambia binti kwamba ndoa hakunatena maana huyu mkwe simkwe bali ni taahira.

Nasisi watanzania sasahivi tunajitambua kuliko wao wanavotudhania. Huu mwaka hadanganyiki mtu.

Hasa jamaa hawana akili kabisa, eti huyo ndiyo alikuwa anataka urais!
 
Hadi siku ya kupiga kura ifike, makada wa CCM watakuwa wamezalisha gesi ya kutosha...
 
Chopa ya KIJANIIIIII... dunia nzima hakuna rangi ya chopa ya hivyo...!!!

Mbayaaaaaa... Sanaaaa...

Kazi kuiga ukawa tu..!!
 

Attachments

  • IMG-20150827-WA0023.jpg
    IMG-20150827-WA0023.jpg
    23.7 KB · Views: 151
Ukiona hadi watu wa kijijini wanakushangaa badala ya kukushangilia ujue unachofanya ni upuuzi
 
Mwigulu na Makongoro
Shameful act cleverly turned into a political fashion.
Tendo la Magufuli la kupiga pushup hadharani lilikuwa la kijinga na lisilostahili
kufanywa na mgombea urais! Ili kuficha hiyo aibu, wanalipamba na kulifanya
lionekane kama jambo zuri linalotakiwa kuwa fasheni mpya ya kisiasa!
Ujinga mtupu!
 
Chopa ya KIJANIIIIII... dunia nzima hakuna rangi ya chopa ya hivyo...!!!

Mbayaaaaaa... Sanaaaa...

Kazi kuiga ukawa tu..!!

Mbona umecharuka sana mkuu TeamLowassa hajakulipa posho nini.Naona JF siku hizi imevamiwa na 4 u movement
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom