JERUSALEM 2006
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 527
- 596
Mwigulu na Makongoro
Mwigulu na Makongoro
Watu nchi zinazo fikiria mbali wanapiga push up za akili sio za mwili.. Ndo maana taifa limezorota hata chandarua mnakuja kuomba marekani..pumbavu sana
Acheni wivu nyie maukawa, nyie mpigieni kura el wenu na sisi tuacheni na magufuli wenu. Nyie siye walengwa wa kampeni za magufuli hivyo hamna sababu hata moja ya kutoa kejeri, matusi na dharau. Tuheshimiane!!