Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Kwanini mnateseka?
Kama zuzu!Zuzu akipewa kipande cha chupa akiambiwa ni almasi anatoka nje anashangilia-mwl Nyerere
Ivi nawaza kama wao wanavyowaza?
1. Tunanunua ndege by cash
2. Wao ndio wanatufundisha kuendesha (training)
3. Wao ndio wanafanya service hapa bongo haipo service bay
4. Wao ndio wanatuuzia vifaa kama matairi na spare parts zote
5. Wao ndio wanatuuzia mafuta ya ndege. Walau ingekuwa inatumia gesi ya mtwara
6. Katika ndege hakuna hata nyuzi tunayotoa tanzania vyote vinatoka kwao.
Jiulize.
1. Ina safari za ndani pekee ambapo Tshs inatumika na hakuna fedha za kigeni
2. Hao watalii wanaosemwa ni wapi?
3. Tunatarajia wateja wetu ni hawa walimu na askari wapande ndege?
4. Au wateja ni wafanyakazi wa serikali hasa watawala wanaolipiwa na taasisi zao. Yaani unatoa mfuko wa kishoto unaweka wa kulia. Unayaita mapato
Hili ndio jibu unapewa ukiuliza swali.Shut up you Assss

Unanunua ndege cash bado unawapigia magoti kuomba mikopoIvi nawaza kama wao wanavyowaza?