"Hata thermometer ina degrees kibao tu lakini inafanya kazi kwapani" wahenga wavaao mlegezo wamepata kunena.
Kiongozi,
Aibu yako ndo umasikini Wako.
We jichanganye tu na vijana wenzako mlisongeshe gurudumu najua itakusononesha Sana mwanzoni lakini utazoea tu na maisha yataendelea wala hakuna haja ya kujinyanyapaa.
Tofauti na shuleni,huku mtaani unaazia mtihani kwanza then ndo unafundishwa hivyo watumie hao vijana kama wakufunzi Wako.
Kumbuka maisha ya kitaani hayanaga Semesters!!Kila la kheri