Naomkutoa hoja kwa makanisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomkutoa hoja kwa makanisa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jongoo, Feb 22, 2010.

 1. j

  jongoo Member

  #1
  Feb 22, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naamini kwamba Tanzania imejaliwa kuwa na dini mbili kuu na kila moja ikiwa na madhehebu kadhaa. Kwa upande wa dini ya kikristo ninayoijua zaidi kuna madhehebu mengi ikianzia KKKT, RC, Anglican, AG na ministries kama kwa Kakobe, Mwingira, Mzee wa Upako, Ndegi, Sloam, Agape kwa Fernandez. Naamini wengi wanao uwezo kupitia roho kutambua mambo ambayo katika ulimwengu wa mwili ni vigumu.

  Je kwa nini wasiweke kongamano la kufunga na kusali ili kutambua ukweli kupitia roho mtakatibu kuhusu yupi ni fisadi na yupi sie ili kuwaongoza waumini kutambua ukweli juu ya suala hili? Kinyume chake naona baadhi wakiwakumbatia watuhumiwa tunaelekea wapi
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,232
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 180
  Prescription:
  Jongoo, you think faster than you can write, hence your name!
  Rudi nyuma u'Edit heading yako na body ya bandiko lako!
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,819
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Weka heading vizuri Mkuu jongoo:


  Naomkutoa = Naomba Kutoa?
   
Loading...