Naombeni ushirikiano wenu wadau:

Naombeni ushirikiano wenu wadau:

NTUZU star

Member
Joined
Jul 4, 2015
Posts
41
Reaction score
8
Poleni na pilika za wiki jana,hatmae tena leo ni wiki mpya muhimu sana kwa watz wnzng kutimza haki yao ya musingi, naomba msaada wenu wanajamvi wnzng tuloomba nafasi za kazi tanroads mkoa wa Ruvuma(songea),zilikuwa nafasi tofauti zikiwemo weighbridge shft-incharge,yapata miezi miwili sasa imepata bila kutolewa majina kwny magazeti ya taifa wala kupokea simu yao,naombeni taarifa mpya ili nijue wapi ntapata nauli ya ruvuma.
 
Back
Top Bottom